Nafasi za Kazi 102 Kutoka MDAs na LGAs January 2025
MDAs and LGAs are key elements of the nation’s governance system, each with distinct responsibilities. MDAs are federal government agencies assigned with the responsibility of formulating and implementing policies, laws, and regulations in various sectors such as health, education, agriculture, and transport. These ministries and agencies deliver public services across the country and are headed by ministers or appointed directors.
Nafasi iliyopo: DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II)
Idadi ya Nafasi – 102
Maelezo ya Kazi
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa ya kinywa na meno.
ii.Kutoa na kusimamia elimu ya afya ya kinywa na meno.
iii.Kuboresha afya ya kinywa na meno katika eneo lake la kazi na jamii.
iv.Kuziba/kukarabati meno, upasuaji, utengenezaji wa meno, kurekebisha mataya (orthodontics).
v.Kusimamia wafanyakazi walio chini yake.
vi.Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa.
vii.Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyopo eneo lake la kazi.
viii.Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza matokeo.
ix.Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake.
x.Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya ya kinywa na meno.
xi.Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (Medical audit and quality improvement).
xii.Kutoa huduma za outreach katika wilaya/mkoa wake
xiii.Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya MTUHA.
xiv.Kupanga na kutathimini huduma za afya ya kinywa na meno katika eneo la kazi.
xv.Kufanya utafiti katika maeneo mbali mbali ya afya ya kinywa na meno.
xvi.Kufanyakazinyingineatakazopangiwanamkuuwakewakazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye shahada ya udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali waliomaliza “Internship” na kusajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika.
REMUNERATION TGHS E
Mwisho wa kutuma maombi ni 20 January 2025.
NB: Kumbuka maombi yote yanatumwa kupitia website ya Ajira Portal, kama bado hujafungua akaunti hujachelwa bado Bonyeza HAPA ili kufungua akaunti yako sasa.
Bonyeza HAPA kutuma Maombi