Nafasi za Kazi Tabibu Wa Kinywa Na Meno Daraja La II MDAs na LGAs January 2025
MDAs and LGAs are key elements of the nation’s governance system, each with distinct responsibilities. MDAs are federal government agencies assigned with the responsibility of formulating and implementing policies, laws, and regulations in various sectors such as health, education, agriculture, and transport. These ministries and agencies deliver public services across the country and are headed by ministers or appointed directors.
Nafasi Iliyopo: TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST II)
Idadi ya Nafasi – 75
Maelezo ya Kazi
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi.
ii.Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida.
iii.Kusimamia utendaji wa watumishi walio chini yake na kufanya upasuaji mdogo.
iv.Kushiriki katika kupanga na kutekeleza Huduma za Afya Msingi.
v.Kushauri na kuhamasisha wananchi kuchangia huduma za Afya za Mfuko wa Afya ya Jamii.
vi.Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma.
vii.Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji.
viii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Stashahada ya Tabibu wa Meno(Diploma in Clinical dentistry) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, pia awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari.
REMUNERATION TGHS B
Mwisho wa kutuma maombi ni 20 January 2025.
NB: kumbuka maombi yote yanafanywa kupitia website ya Ajira Portal, kama bado hujafungua akaunti usijali bado hujachelewa bonyeza HAPA kufungua sasa