Nafasi 35 za Kazi Kutoka MDAs na LGAs January 2024
MDAs and LGAs are key elements of the nation’s governance system, each with distinct responsibilities. MDAs are federal government agencies assigned with the responsibility of formulating and implementing policies, laws, and regulations in various sectors such as health, education, agriculture, and transport. These ministries and agencies deliver public services across the country and are headed by ministers or appointed directors.
Nafasi ya Kazi: MTEKNOLOJIA WA RADIOGRAFA DARAJA II – RADIOLOJIA (RADIOGRAPHY TECHNOLOGIST II – RADIOLOGY)
Idadi ya Nafasi: 35
Maelezo ya Kazi
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kuwapima wagonjwa wanaolekezwa kwenye eneo lake la kazi
ii. Kutunza mitambo na vifaa vya Radiolojia katika eneo lake la kazi
iii. Kukagua picha za X-Ray zilizopimwa kwa ubora na kutosheleza (diagnostic quality)
iv. Kutunza picha za wagonjwa hadi majibu yanapowafikia madaktari waliowatuma wagonjwa
v. Kusimamia watumishi walio chini yake
vi. Kutoa Ushauri kuhusu masuala ya na kazi za Radiolojia na Mionzi katika eneo lake la kazi.
vii. Kuandaa vifaa vya tiba/uchunguzi na kusimamia utakasaji vifaa katika eneo lake la kazi (sterilization)
viii. Kutoa mafunzo ya awali kwa watumishi wanaopangiwa kazi katika eneo lake la kazi.
ix. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Radiolojia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalum wa Mionzi Tanzania.
REMUNERATION TGTS-B
NB: Maombi yote yanatakiwa kutumwa kupitia website ya Ajira Portal,Kama bado hujafungua akaunti ya Ajira Porta Uasijali Bonyeza HAPA ili kufungua akaunti yako sasa
Mwaisho wa kutuma Maombi ni 20 January 2025