Kikosi cha Simba vs CS Sfaxien Leo 05/01/2025 kombe la shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup), wachezaji wa Simba watakaocheza dhidi ya CS Sfaxien, Habari leo 5 january 2025 klabu ya Simba iko nchini Tunisia ikisubili kuingia uwanjani kuminyana na klabu ya CS Sfaxien katika mcheo wa roundi ya 4 kwenye michuano ya CAF Confederation Cup 2024/2025.
Hapa katika kurasa hii tutaenda kukuwekea kikosi kitakachoenda kucheza na klabu ya CS Sfaxien leo, kama wewe ni shabiki wa Simba na ungetamani kufahamu ni wacheaji gani waliopangwa katika kikosi ili kucheza na klabu ya CS Sfaxien basi hapa utaweza kupata taarifa zote za kikosi hicho.
Kikosi cha Simba vs CS Sfaxien Leo 05/01/2025
Hapa chini tutaenda kukuwekea kikosi kitakacho cheza katika mchezo wa leo pindi kitakapokua tayari kimeweza kutajwa. Ila kwa sasa tutakuwekea majina ya wachezaji walioweza kusafiri kwenda Tunisia ili kuunda kikosi kitakachoweza kucheza na klabu ya Kikosi cha Simba vs CS Sfaxien Leo 05/01/2025
Walinda Mlango (Goalkeepers)
- Mouse Camera
- Hussin Abel
- Ally Salim
Safu ya Ulinzi (Defenders)
- Karaboue Chamau
- Che Malone Fondoh
- Valentin Nouma
- Abrazak Hamza
- Mohamed Hussein
- Shomari Kapombe
- Kelvin Kijili
Safu ya Viungo (Midfielders)
- Mzamiri Yasin
- Awesu Awesu
- Fabrice Ngoma
- Jean Charles Ahour
- Yusuph Kagoma
- Elie Mpanzu
- Augustine Okejepha
- Kibu Denis
- Debora Fenandes
- Ladaki Chasamba
Safu ya Ushambuliaji (Strikers)
- Leonel Ateba
- Steven Mukwale
Hapo juu ndio wachezaji walioweza kusafiri kutoka Tanzania kwenda Tunisia, Tunatumaini kikosi cha Simba vs CS Sfaxien kitatoka kwenye orodha hiyo hapo juu.
Mara baada ya kutangazwa kwa kikosi basi sisi kama Kisiwa24 tutakiweka kikosi hicho katika ukurasa huu. mchezo huu wa Simba vs CS Sfaxien unatarajiwa kuanza majira ya saa 07:00 PM na kikosi cha Simba kitakua wazi saa moja kabla ya mchezo Kuanza.
Matarajio ya Mashabiki wa Simba
Mashabiki wengi wa Simba wanatarajia kuona kikosi kizuri na chenye ushindani kwani matumaini ya mashabi ni kuona Simba ikishinda mchezo huu ili kuweza kujiweka katika nafsi nzuri na yenye matumaini katika konga mbele kuelekea kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup)
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Matokeo ya CS Sfaxien vs Simba Leo 05/01/2025
2. CS Sfaxien vs Simba SC Leo 05 January 2025 Saa Ngapi?