Matokeo ya CS Sfaxien vs Simba Leo 05/01/2025, Habari mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu katika makala hii fupi ambayo itaenda kukupa matokeo ya mechi ya hatua ya makundi kati ya CS Sfaxien vs Simba inayochezwa leo 04/1/2025 nchini Sudani ikiwa ni mchezo wa roundi ya 4 katika hatua hii ya makundi
Mchezo huu kati ya CS Sfaxien vs Simba ni mchezo wa marudiano baada ya mchezo uliozikutanisha timu hiz mbili jijini Dar es Salaam tarehe 15 December katika uwanja wa Benjamini Mkapa na Simba SC iliondoka na ushindi wa mabao 2 kwa moja.
Matokeo ya CS Sfaxien vs Simba SC Leo 05/01/2025
Hapa chini utaenda kupata matokeo ya mchezo huu wa CAF Confederation Cup kwa vipindi vyote viwili, Pia katika kurasa hii utaenda kusoma matukio ya muhimu yaliyoweza kutokea wakati wa mchezo.
Kipindi cha Kwanza
Matokeo ya Kipindi cha Kwanza | |
CS Sfaxien – 0 | 0 – Simba SC |
Kipindi cha Pili
Matokeo ya Kipindi cha Kwanza | |
CS Sfaxien – 0 | 0 – Simba SC |
Mchezo huu ni muhimu sana kwa klabu ya Simba kuweza kupata ushidi ili aweze kupanda nafasi yake na kujhakikishia nafasi ya kuweza kufuvu kuingia hatua ya robo fainali katika michuano hii ya CAF Confederation Cup. Kwa sasa klabu ya Simba iko katika nafasi ya 3 ikiwa na pointi 6, huku aliyekua katika nafasi ya 1 na 2 pia wanapointi 6, simba akishinda mchezo huu anaweza kupanda hadi nafasi ya 1 au nafasi ya 2 kulingana na matokeo ya mcheo kati ya aliyekua katika nafasi ya 1 na 2.
Hivyo basi kama wewe ni shabiki wa Simba usiache kutembelea kurasa hii mara kwa mara kwani matokeo ya mechi ya CS Sfaxien vs Simba SC pamoja na matukio yote ya muhimu tutakua tukiyaweka hapa kila wakati pindi mchezo utakapokua ukiendelea.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. CS Sfaxien vs Simba SC Leo 05 January 2025 Saa Ngapi?
2. Ratiba ya Mechi za Liverpool Ligi Kuu ya Uingereza EPL 2024/2025
3. RATIBA ya Mechi za Yanga Mwezi Januari 2025
4. Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali