CS Sfaxien vs Simba SC Leo 05 January 2025 Saa Ngapi? Karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongozo wa ratiba ya muda fani mechi ya Simba dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia itachezwa.
Leo 05/01/2025 Mnyama Simba yuko Tunisia akisubili kuingia dimbani kukipiga dhidi ya klabu ya CS Sfaxien kwenye mechi ya roundi ya 4 katika michuano ya CAF Confederation Cup hatua ya makundi.
Mchezo huu ni mchezo wa marudiano baada ya mchezo uliowakutanisha miamba hii miwili katika jiji la Dar es Salaam tarehe 15 Decenber na Simba Kuibuka na Ushindi wa goli 2 kwa moja goli la ushi la Simba likifungwa kunako dk 8 baada ya dk 90 kutamatika na Kibu Denis.
CS Sfaxien vs Simba Leo 05 January 2025 Saa Ngapi?
Hapa chini tuanenda kujibu swali lao juu ya muda gani mchezo wa Simba vs CS Sfaxien utaenda kuchezwa
1. CAF Confederation Cup
2. Kundi A
3. Mchezo wa Roundi ya 4
4. CS Sfaxien vs Simba
5. Uwanja wa; Stade Olympique Hammadi Agrebi
6. Sudani
7. 19:00 Pm
Hapo juu ni taarifa za muhimu kuhusu mchezo huu wa CAF Confederation Cup unaozikutanisha klabu 2 kutoka katika kundi A.
Nafasi ya Simba Kwenye Kundi A
Hadi sasa Simba SC wamecheza michezo 3, katika michezo hiyo ameshinda michezo 2 na kupoteza mchezo 1, hivyo basi mchezo huu ni muhimu sana kwa Simba kuweza kushinda kwani yuko katika nafasi ya 3 akiwa sawa pointi na walioko ju yake wote wanapointi 6 kama atashinda mchezo huu atakua na pointi 9 huku akiombea walioko juu yake kupoteza mchezo au kutoa sare kama walioko juu wataishia na matokeo ya sare kisha Simba akashinda basi atakua anaongoza kundi A.
Matarajio ya Mashabi wa Simba.
Mashabiki wengi wa klabu ya Simba wanaimani na timu yao kuweza kushinda mchezo huu, hasa ukizingatia Kibu Denisi tayari kesha rudi kwenye kikosi, pia Elie Mpanzu atakuwepo uwanjani hivyo ni matumaini ya juu kua Simba itashinda mchezo huu ili kuweza kuendelea kujihakikishia nafasi ya kufudhu hatua ya robo fainali.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. RATIBA ya Mechi za Yanga Mwezi Januari 2025
2. Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali
3. Msimamo Wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 Tanzania Bara
4. Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza EPL 2024/2025
5. Ratiba Ya Ligi Kuu England 2024/2025 (EPL Fixtures 2024/2025)