Matokeo Ya Yanga SC vs TP Mazembe 04 January 2025, Leo 04 January 2025 Yanga anaikaribisha klabu ya TP Mazembe kutokea DR Congo kwenye mchezo wa michuano ya klabu bingwa barani Afrika Roundi ya 4.
Mchezo utafanyika majira ya saa 10:00 za jion katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Sisi kama Kisiwa24 tuko hapa kukusogezea matuio yote muhimu kuanzi kuanza kwa mchezo hadi kumalizika kwa mchezo huo.
Matokeo Ya Yanga SC vs TP Mazembe 04 January 2025
Hapa chini ni matokeo ya mechi ya Yanga dhidi ya TP Mazembe leo Jumamosi 2025
Kipindi cha Kwanza
Matokeo ya Kipindi cha Kwanza | |
Yanga 1 | 1 TP Mazembe |
16 Dk – TP Mazembe wanapata Penati
32 Dk – Mzize
Kipindi Cha Pili
Matokeo ya Kipindi cha Kwanza | |
Yanga – 3 | 1 – TP Mazembe |
Mchezo huu ni muhimu kwa timu zote mbili kwani Yanga ikpo kwenye nafasi ya 4 ikiwa na pointi 1 na TP Mazembe iko kwenye nafasi ya 3 ikiwa na pointi 2. Hivyo basi Yanga inahitaji kushinda mchezo huu ili kufufua matumaini ya kuendelea mbele zaidi kwenye michuano hii ya klabu bingwa Afrika
Matokeo ya mchezo huu wa Yanga dhidi ya TP Mazembe 04 January 2025 tutayaweka hapa kwa kipindi cha kwanza na kipindi cha pli kuweza kutamatika. Usiache kufuatilia ukrasa huu kila wakati ili kuweza kuona matukio mbalimbali ya mchezo huu.