Viwango vya Mishahara ya Wachezaji wa Azam FC 2024/2025,Mishahara ya wachezaji wa Azam FC 2024/2025, Katika makala hii ya kimichezo tutaenda kumilikia viwango vya mishahara wanayolipwa wachezaji wa klabu ya Azam FC kwa msimu wa 2024/2025.
Kama wewe ni shabiki wa Azam FC huna budi kuweza kufahamu wachezaji wa klabu yako wanalipwa kiasi gani kwa mmoja mmoja, basi hapa utapata kujua mishahara ya wachezaji wote waliopo ndani ya klabu ya Azam FC.
Azam FC
Hii ni klabu maarufu sana nchini Tanzania kutokana na utajiri wa wawekezaji wake ambao ni Bhakresa Group. Timu hii inapatikana jijini Dar es Salaam na inatumia uwanja wa Azam Complex kama uwanja wake wanyumbani. Azam Fc kwa msimu huu wa 2024/2025 inashiriki katika ligi kuu ya NBC Tanzania bara
Kikosi Kinachounda Klabu ya Azam FC
Hapa chini ni jumla ya wachezaji wote wanounda kikosi cha Azm FC kwa msimu wa 2024/2025. Hatuwezi kuzungumzia mshahara wa wachezaji wa Azam FC bila kuwafahamu wachezaji hao na nafasi zao uwanjani.
Magolikipa
- Mohamed Mustafa
- Abdulai Iddrisu
- Ali Ahamada
- Zuberi Foba Masudi
Mabeki
- Yeison Fuentes – Beki wa Kati
- Lusajo Mwaikenda – Beki wa Kati
- Yoro Diaby – Beki wa Kati
- Abdalla Kheri – Beki wa Kati
- Pascal Msindo – Beki wa Kushoto
- Cheikh Sidibé – Beki wa Kushoto
- Nathaniel Raphael Chilambo – Beki wa Kulia
Viungo
- Ever Meza – Kiungo wa Ulinzi
- Adolf Bitegeko – Kiungo wa Ulinzi
- Yannick Bangala – Kiungo wa Ulinzi
- Feisal Salum – Kiungo wa Kati
- Sospeter Bajana – Kiungo wa Kati
- James Akaminko – Kiungo wa Kati
- Yahya Zayd – Kiungo wa Kushambulia
- Tepsi Evance – Kiungo wa Kushambulia
Winga
- Abdul Hamisi Suleiman – Winga wa Kushoto
- Gibril Sillah – Winga wa Kushoto
- Iddy Seleman Nado – Winga wa Kushoto
- Franck Tiesse – Winga wa Kulia
Washambuliaji
- Jhonier Blanco – Mshambuliaji wa Kati
- Franklin Navarro – Mshambuliaji wa Kati
- Nassor Saadun – Mshambuliaji
- Adam Omar Adam – Mshambuliaji wa Kati
- Alassane Diao – Mshambuliaji wa Kati
Mishahara ya wachezaji wa Azam FC 2024/2025
Baada ya kuweza kutizama kikosi kiachounda klabu ya Azam Fc embu sasa tutizame mishahara ya wachezaji wa Azam FC kwa msimu wa 2024/2025
Hapa chini ni jedwali linaloonyesha mshahara wa kila mchezaji aliyoko kwenye klabu ya Azam FC.
Jina la Mchezaji | Nafasi Yake Uwanjani | Mshahara (TZS) |
---|---|---|
Mohamed Mustafa | Golikipa | 8M |
Abdulai Iddrisu | Golikipa | 3M |
Ali Ahamada | Golikipa | 13M |
Zuberi Foba Masudi | Golikipa | – |
Yeison Fuentes | Beki wa Kati | 6.2M |
Lusajo Mwaikenda | Beki wa Kati | 2M |
Yoro Diaby | Beki wa Kati | – |
Abdalla Kheri | Beki wa Kati | 1.9M |
Pascal Msindo | Beki wa Kushoto | 2M |
Cheikh Sidibé | Beki wa Kushoto | 6M |
Nathaniel Raphael Chilambo | Beki wa Kulia | 1.3M |
Ever Meza | Kiungo wa Ulinzi | 5M |
Adolf Bitegeko | Kiungo wa Ulinzi | 25K |
Yannick Bangala | Kiungo wa Ulinzi | 5M |
Feisal Salum | Kiungo wa Kati | 17.8M |
Sospeter Bajana | Kiungo wa Kati | 3.4M |
James Akaminko | Kiungo wa Kati | 5M |
Yahya Zayd | Kiungo wa Kushambulia | 3M |
Tepsi Evance | Kiungo wa Kushambulia | 800K |
Abdul Hamisi Suleiman | Winga wa Kushoto | 2.7M |
Gibril Sillah | Winga wa Kushoto | 6M |
Iddy Seleman Nado | Winga wa Kushoto | 3M |
Franck Tiesse | Winga wa Kulia | 7M |
Jhonier Blanco | Mshambuliaji wa Kati | 10M |
Franklin Navarro | Mshambuliaji wa Kati | 5.6M |
Nassor Saadun | Mshambuliaji | 900K |
Adam Omar Adam | Mshambuliaji wa Kati | 1M |
Alassane Diao | Mshambuliaji wa Kati | 4M |
Mwnozo wa mishahara ya wachezaji wa klabu ya Azam Fc umekua kichocheo kikubwa kwa wachezaji wenye uwezo wa juu kutamani kujiunga na klabu hiyo wakiwa na matarajio ya kulipwa vizuri, kitu kinacho fanya timu hiyo kuwa na wachezaji wenye uwezo wa hali yajuu na wenye kujituma zaidi wawapo uwanjani katika kutafuta matokeo bora kwa timu yao.