Vinara wa Assist Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2025/2026, Vinara wa Assist NBC Premier League 2025/2026,Vinara wa Assist NBC Premier League 2025/2026, Wafalme wa Pasi za Mwisho ligi kuu ya NBC Tanzania 2025/2026, Orodha ya Watoa Pasi za Mwisho Ligi Kuu Tanzania 2025/2026,Ligi Kuu NBC ya Tanzania inachukua nafasi muhimu katika soka la nchi, lakini mara nyingi ushindi unatokana na ngome ya mashambulizi, uwezo wa kuiungo kuwa kiungo cha kusimamia goli. Moja ya kipimo huchukuliwa kuwa muhimu sana ni assist — pasi ya mwisho inayosababisha goli. Katika msimu wa 2025/2026, shabiki wa soka anatamani kujua ni nani atakayeongoza kwa kutoa assist nyingi, ni nani atashinda ushindani wa vipaji vya kupiga pasi bora. Hapa tunachambua hali ya sasa, mchuano wa vinara na matarajio yanayoweza kutokea.
Vinara wa Assist NBC Premier League 2025/2026
Msimu huu mpya wa ligikuu ya NBC Tanzania bara umekua ni msimu wa aina yake kwani kila timu imejiandaa vya kutosha kitu kilichoongeza mvuto kwenye ligi na hata wachezaji kutumia juhudi binafsi na uwezo walionao kitu kinachoongeza radha ya ligi kwa mashabiki na wapenzi wa ligi kuu ya NBC. Licha ya wachezaji wengi kua hodari katika ufungaji wa magori kwenye msimu huu wa 2025/2026 lakini hatuwezi kuacha kuwazungumzia watoa assist za magoli.
Pasi za mwisho au assist
Hizi ni pasi za mwisho kuelekea kwa mchezaji aliye funga goli, tunapoenda kuwapongeza waliofunga magoli pia katika ulimwengu wa soka ni lazima tuizungumzie ile pasi ya mwisho kuelekea kwa mfungaji goli, aliye toa fasi ya mwisho ni mchezaji muhimu sana katika ushindi wa timu na ndio maana pia takwimu za mchezaji bora kwa utoaji pasi za mwisho (top assist) huchukuliwa mwishoni mwa ligi.
Kwa kuzingatia umuhimu wa wachezaji wanaotoa pasi za mwisho basi hapa tutaenda kukupa orodha ya vinara wa Assist Nbc premier league 2025/2026
Hawa Ndio Vinara wa Assist Ligi Kuu NBC 2025/2026
NBC PREMIER LEAGUE ASISSTS
|
Rank |
Player |
Club |
Position |
Assists |
|---|---|---|---|---|
|
1 |
Feisal Salum |
Azam |
Midfielder |
13 |
|
2 |
Max Nzengeli |
Young Africans |
Midfielder |
9 |
|
3 |
Pacome Zouzoua |
Young Africans |
Midfielder |
9 |
|
4 |
Jean Ahoua |
Simba |
Midfielder |
8 |
|
5 |
Prince Dube |
Young Africans |
Forward |
8 |
|
6 |
Ki Stephane Aziz |
Young Africans |
Midfielder |
7 |
|
7 |
Josephat Bada |
Singida BS |
Midfielder |
7 |
|
8 |
Salum Kihimbwa |
Fountain Gate |
Forward |
5 |
|
9 |
Elie Mpanzu |
Simba |
Midfielder |
5 |
|
10 |
Amosi Kadikilo |
Fountain Gate |
Defender |
4 |
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Orodha ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Uingereza EPL 2024/2025
2. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
3. Msimamo Wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 Tanzania Bara
4. Orodha ya Timu Zinazoshiriki Ligi Daraja la kwanza 2024/2025












Leave a Reply