Orodha ya Timu Zinazoshiriki Ligi Daraja la kwanza 2024/2025, timu zinazoshiriki NBC Championship 2024/2025, Habari mwana Kisiwa24, karibu katika makala hii inayoenda kukupa mwongozo wa timu zinazoshiliki kwenye michuano ya ligi Daraja la kwanza msimu wa 2024/2025
Kama wewe ni mpenzi wa soka hasa kwenye michuano ya NBC Championship basi huna budi kufahamu ni timu zipi zinazoshiriki kwenye ligi hiyo. Hapa katika makala hii fupi ya kimichezo tunaenda kukuwekea orodha ya timu zote ambazo zinashiriki katika ligi hii ya NBC Championship 2024/2025
Orodha ya Timu Zinazoshiriki Ligi Daraja la kwanza 2024/2025
Baada ya msimu wa 2023/2024 kukamilika na kushudia timu 2 kutoka kwenye ligi ya NBC Championship kuweza kupanda daraja na kuingia kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu mpya wa 2024/2025, Sasa bado mkimbizano unaendela kwenye ligi Daraja la kwanza. Timu zilizopanda daraja kwenye msimu huu wa 2024/2025 kutoka ligi daraja la kwanza ni pamoja na;
- KenGold
- Pamba Jiji
Japo hadi sasa kwenye msimo wa ligi kuu ya NBC hazijaweza kufanya vizuri kwan KenGold iko kwenye nafasi ya 16 na Pamba Jiji iko kwenye nafasi ya 14.
Idadi ya Timu Kwenye Ligi ya NBC Championship
Kuna jumla ya timu 16 zinazoshiriki ligi Daraja la kwanza 2024/2025, hadi mwisho wa ligi kila timu itakua imecheza jumla ya michezo 30 ikiwa ina maaya ya kila timu itakutana na timu nyingine mara mbili
Mgawanyo wa Mechi kwenye ligi Daraja la Kwanza
Mgawanyo wa michezo kwenye ligi daraja la kwenza iko sawa na ule wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwani kila timu itacheza na mwezake mara 2 kwa mgawanyo wa
- Home
- Away
Hivyo basi kwa mgawanyo huu unaifanya ligi kua na jumla ya mechi 30 kwa kila timu.
Timu zinazoshiriki michuano hii ya NBC Championship 2024/2025 ni pamoja na;
1. Mtibwa
2. Geita
3. Stand United
4. Mbeya City
5. TMA
6. Mbeya Kwanza
7. Songea United
8. Bigman
9. Mbuni
10. Polisi Tanzania
11. Biashara UTD
12. Green Warriors
13. Cosmopolitan
14. A.Sports
15. Transit Camp
16. Kiluvya
Mwisho wa ligi timu zitakazo maliza katika nafasi ya 1 na 2 zitapanda daraja na kuingia kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu ujao wa 2024/2025 na kwa zile zitazo maliza kwenye nafasi ya 15 na 16 zitashuka daraja na kujiunga na ligi ya daraja la pili.
Mwenendo wa Ligi Draja la kwanza 2024/2025 NBC Championship
Ligi imekua na mvutano mkubwa kwa timu kuwania nafasi ya 3 bora kwani hadi sasa imesha chezwa michezo 12 na muachano wa pointi kati ya nafasi moja hadi nyingine ni mdogo sana, hii inaonyesha uimara wa timu na ligi kwa ujumla wake
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Timu Zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
2. Orodha ya Makombe Yote ya Simba SC Kwenye Ligi Kuu Tanzania