Viingilio Mechi ya Yanga vs Mashujaa leo 19/12/2024,leo klabu ya Yanga inawakaribisha Mashujaa katika uwanja wake wa nyumbani KMC Complex jijini Dar es Salaam.
Tayari viingilio vya tiketi za mchezo huo zimesha tangazwa na hapa tunakuwekea taarifa kamili za viibgilio hivyo na wapi kwa kwenda kununua tiketi za mchezo huo.
Viingilio vya Mechi ya Yanga vs Mashujaa
Hapa chini ni mpangilio wa bei za tiketi kwenye mechi ya Yanga vs Mashujaa leo 19 December 2024 itakayofanyika kwenye uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam
1. Mzunguko ni Tsh 10,000
2. VIP A ni Tsh 20,000
Sehemu Zinakoptikana Tiketi za Mechi Hii.
Hapa chini ni maeneo ambayo shabiki anaweza kwenda na kukata tiketi yake mapema ili kushuhudia mtanange huu katu ya Yanga na Mashujaa.
Mchezo huu kati ya Yanga na Mashujaa unatarajiwa kuanza majira ya saa 10:00 za jioni