TETESI za Usajili Yanga SC 2024/2025, usajili wa Yanga 2024/2025, Wachezai waliosajiliwa Yanga msimu wa 2024/2025, Habari shabiki wa klabu ya Dar Young Africans ali maarufukama Yanga au wana jangwani, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupasha habari za kina kuhusu tetesi za usajili wa Yanga kwa msimu huu wa 2024/2025.
TETESI za Usajili Yanga SC 2024/2025
Ikiwa tayari michezo kadhaa ya ligi kuu ya NBC Tanzania bara imesha pigwa na Yanga hadi sasa kuelekea ukufunguliwa kwa drisha dogo la usajili January 2025 ip kwenye nafasi ya 3 ikiwa imesha cheza michezo takribani 11 huku Azam inayoongoza ligi ikiwa imesha cheza michezo 14, utofauti huu unatokana na klabu ya Yanga kushiriki katika michuano ya kimataifa ya ligi ya mabingwa barani Afrika.
Kutokana na michezo iliyochezwa tayari benchi la ufundi la Yanga limesha gundua wapi kwa kufanya marekebisho na kuhitaji kufanya usajili wa wachezaji wapya ili kuendela kuimalisha kikosi chake kwa michuano ya ligi kuu kw kujihakikishia kutwaa kombe hilo kwa mara nyingine tena huku pia kuhakikisha wanafanya vizuri katika michuano ya ligi ya mabingwa Afrika.
TETESI za Usajili Yanga SC 2024/2025 Kwenye Dirisha Dogo la Usajili
Kuelekea kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili klabu ya Yanga imehusishwa na kutaka kuwasajili wachezaji mbali mbali wa ndani na nje ya Tanzania. Hapa chini ni miongoni mwa wachezaji wanaosadikika kuhitajika na klabu ya Yanga kwa msimu huu wa 2024/2025
- Kelvin Nashon
- Harvey Onoya
- Fredy Michael Koublan
- Kambou Dramane
- Lameck Lawi
- Abdallah Said Lanso
- Fahad Bayo
- Lasinne Kouma
- Mamadou Koita
- Jonathan Ikangalombo
- Israel Mwenda
- Micky Harvey Ossete
- Lauren Makame
Usajili wa Yanga Dirisha Dogo
Yanga inakusudia kufanya usajili wa wachezaji wapya ili kuenedelea kuboresha kikosi chake kwenye idara mbalimbali ili kuweza kujihakikishia ushindi kwenye mechi mbalimbali kwenye ligi kuu ya NBC na hata michuano ya ligi ya mabingwa Afrika
Ushiriki wa Yanga Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika
Klabu ya Yanga ndio klabu pekee kwa sasa inayoshgiriki michuano ya klabu bingwa Afrika kutoka Tanzania na Afrika Mashariki. Yanga imepagwa katika kundi A pamoja na
- TP Mazembe (DR Congo)
- Al Hilal SC (Sudan)
- MC Alger (Algeria)
Hadi sasa Yanga imecheza jumla ya michezo 3, huku ikifungwa michezo miwili na kutoa sare mchezo mmoja dhidi ya TP Mazembe.
Hivyo basi usajili wa Yanga kwenye dirisha dogo January 2025 utakua na maufaa sana kwenye kuongeza nguvu na kuimalisha kikosi
Je wewe kama shabiki wa Yanga unadhani kwa kiwango cha sasa cha klabu yako ya Yanga ni wachezaji gani wangepaswa kusajiliwa kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo?, embu acha maoni yako hapo chini kupitia sehemu ya kuandikia comment.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Msimamo wa Ligi ya NBC Championship Tanzania 2024/2025
2. Cv ya Sead Ramovic Kocha Mpya wa Klabu ya Yanga
3. Ratiba Ya Mechi Zote Za Yanga Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025