Ratiba ya Mechi za Leo Jumatano 18/12/2024
Habari ya leo mwanamichezo wa kisiwa24 blog karibu katika makala hii ya kimichezo itakayoenda kukuangazia juu ya ratoba ya michezo ya leo kutoka pande mbalimbali za dunia ikiwemo ligi kuu ya NBC Tanzania bara.
Leo Jumatano 18/12/2024 ligi mbalimbali duniani zinaendelea kutimua vumbi na hapa tutaenda kukuonyesha michezo yote itakayoenda kufanyika leo kwenye ligi tofauti tofauti duniani kote.
Kwa mashabiki na wafuatiliaji wa mpira, kwenye makala hii tutaenda kukuweka ratiba kamili ya mechi za leo jumatano ya tarehe 18 December 2024 kutoka ligi mbalimbali duniani kote.
Ratiba ya leo Ligi Kuu ya NBC 18/12/2024
- Simba SC Vs KenGold – 16:00
Ligi kuu ya Spain – La Liga
- Espanyol Vs Valencia – 23:30
- Villarreal Vs Rayo Vallecano – 23:30
Ligi kuu ya Ufaransa – Ligue 1
- Monaco Vs PSG – 23:00
Ligi ya Uingereza – League Cup
- Arsenal vs Crystal Palace – 22:30
- Newcastle United vs Brentford – 22:45
- Southampton vs Liverpool 23:00
Ligi ya Italia – National cup
- Atalanta vs Cesena – 20:30
- RomaSam vs pdoria – 23:00
Ratiba ya leo Champions League, Hatua ya Makundi – Women
- Barcelona W Vs Manchester City W – 20:45
- St. Polten W Vs Hammarby W – 20:45
- Arsenal W vs Bayern W – 23:00
- Juventus W vs Valerenga W – 23:00
Ligi ya Ugiliki – National cup
- OFI vs Panachaiki – 18:00
- Panionios vs Asteras Tripolis – 20:00
- AEK vs PAOK – 22:00
Ligi ya Uholanzi National Cup
- Katwijk VS Twente – 20:45
- AFCU VS trecht – 22:00
- ASWH VS Heerenveen – 22:00
- Heracles Almelo VS NEC – 22:00
- Sparta Rotterdam VS Go Ahead Eagles – 22:00
- AZ VS Groningen – 23:00
Ligi kuu ya Uyreno – National cup
- Sporting vs Santa Clara 23:45
Ligi kuu ya Romania – National Cup
- Politehnica Iasi vs Hermannstadt – 18:00
- Sanatatea Cluj vs Unirea Ungheni – 18:00
- UTA Arad vs Farul Constanta – 18:00
- Agricola Borcea vs Metalul Buzau – 21:00
- Dinamo B vs Petrolul 52 – 21:00
- FCSB vs Universitatea Craiova – 21:00
Ligi kuu ya Sebia – Super Liga
- Jedinstvo Ub vs Crvena Zvezda 18:00
Ligi ya spania – La Liga 2
- Ferrol vs Almeria – 21:00
- Malaga vs Eldense – 23:15
- Mirandes vs Sporting Gijon – 23:15
Ligi kuu ya Uturuki – National cup
- Boluspor vs 1461 Trabzon – 13:00
- Corluspor vs Kocaelispor – 13:00
- Erokspor vs Istanbulspor – 13:00
- Kastamonuspor vs Bodrumspor – 13:00
- Keciorengucu vs Demir Grup Sivasspor – 13:00
- Musspor vs Antalyaspor – 13:00
- Erzurumspor vs Sakaryaspor – 15:30
- Umraniyespor vs Karagumruk – 15:30
- Menemen Belediyespor vs Ankaragucu – 18:00
- B.B. Gaziantep vs Orduspor – 20:30
Michuano ya Dunia – Intercontinental Cup
- Real Madrid vs Pachuca – 20:00
Ligi ya Asia ASEAN Championship,hatua ya makundi
- Myanmar vs Laos – 13:30
- Philippines vs Vietnam – 16:00
Ligi kuu ya South Afrika – Premier League
- Stellenbosch vs Mamelodi Sundowns 20:30
Michuano ya kirafiki ya Dunia (International Friendlies)
- Soloman Islands vs Papua-New Guinea – 08:00
- Soloman Islands U23 vs Fiji – 10:00
- Costa Rica U17 vs Domenican Republic U17 – 19:00
- Colombia U20 vs Venezuela U20 – 01:00
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Kikosi cha Simba VS KenGold Leo 18/12/2024
2. Matokeo ya Simba SC Vs KenGold Leo 18/12/2024
3. Orodha ya Makombe Yote ya Simba SC Kwenye Ligi Kuu Tanzania
4. Msimamo wa Ligi ya NBC Championship Tanzania 2024/2025