Kikosi cha Simba VS KenGold Leo 18/12/2024
Habari mwana Simba SC hapa tutaenda kukuonyesha kikosi kitakachoenda kucheza KenGold katika mechi ya leo 18/12/2024 kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC. Simba inarudi kwenye ligi kuu baada ya kusimama kwa muda kidogo ili kushiriki kwenye michuano ya kombe la shirikisho Barani Afrika.
Leo Simba inaikaribisha klabu ya KenGold na hapa tutaenda kukuonyesha kikosi kitakachoenda kucheza na Kengold, Hadi sasa klabu ya Simba ipo kwenye nafasi ya 2 ya msimamo wa ligi ya NBC ikiwa na pointi 28 nyuma ya Azam FC kwa pointi 2 na ikitokea Simba akashinda mchezo wa leo ata panda hadi nafasi ya 1 kwa pointi moja kwani atakua amefikisha alama 31.
Kikosi cha Simba VS KenGold Leo 18/12/2024
Kikosi kitakachoanza kwenye mchezo wa Simba dhidi ya KenGold bado hakijatangazwa ila hapa chini tunamajina ya wachezaji wa klabu ya Simba amabao miongoni mwao ndio kikosi cha Simba kitaundwa dhidi ya KenGold.
- Moussa Camara (26)
- Shomari Kapombe (12)
- Mohamed Hussein (15)
- Karaboue Chamou (2)
- Che Malone (20)
- Fabrice Ngoma (6)
- Joshua Mutale (7)
- Augustine Okajepha (25)
- Leonel Ateba (13)
- Kibu Denis (38)
- Ladaki Chasambi (36)
- Ally Salim (1)
- Valentin Nouma (29)
- Hussein Kazi (4)
- Debora Fernandes (17)
- Mzamiru Yassin (19)
- Awesu Awesu (23)
- Jean Charles Ahoua (10)
- Steven Mukwala (11)
- Benjamin William (50)
- Habil Masoud (52)
Kikosi kitakapo tangazwa basi tutakiweka hapa
NB; Je kama ungepewa nafasi ya kuweza kutengeneza kikosi cha Simba vs KenGold leo 18/12/2024 unge panga wachezaji gani? embu weka komenti yako kwenye eneo la komenti hapo chini
Mapendekezo ya Mhariri
1. Matokeo ya Simba SC Vs KenGold Leo 18/12/2024
2. Tetesi za Usajili Dirisha Dogo Ligi Kuu NBC Tanzania Bara
3. Msimamo wa Ligi ya NBC Championship Tanzania 2024/2025
4. Orodha ya Makombe yenye Thamani Kubwa Zaidi Barani Ulaya