Idadi Ya Makombe Alioshinda Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Klabu ya Yanga ni moja ya klabu maarufu zaidi Tanzania na Afrika kwa ujumla.Yanga Sc imeanzishwa February 11, 1935, Inamakazi yake katika jiji la Dar es Salaam. Klabu ya Yanga inamajina ya utani kama vile Wananchi Fc; Vijana Stars (The Young Stars); Wananchi (kiboko).
Toka kuanzishwa kwake imekua ikishiriki katika kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara ambayo kwa sasa inajulikana kama NBC Premier League. Kwa sasa klabu ya yanga inahudumiwa na kocha Sead Ramović.
Idadi Ya Makombe Alioshinda Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC
Hapa chini ni miaka ambayo klabu ya Yanga iliweza kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC toka kuanzishwa kwake mwaka 1935.
2023/2024
- Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 80
2022/2023
- Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 78
2021/2022
- Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 74
2016/2017
- Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 68
2015/2016
- Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 73
2014/2015
- Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 55
2012/2013
- Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 60
2010/2011
- Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 49
2008/2009
- Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 28
2007/2008
- Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 80
2006
- Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 70
Makombe mengine amabayo Yanga aliweza kuyachukua kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania bara ni yale ya mwaka;
- 2005
- 2002
- 1997
- 1996
- 1993
- 1992
- 1991
- 1989
- 1987
- 1985
- 1983
- 1981
- 1974
- 1972
- 1971
- 1970
- 1969
- 1968
Tangu mwaka 1968 hadi sasa klabu ya Yanga imechukua makombe 27 kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara na ndio imekua klabu yenye historia ya kua klabu iliyochukua makombe mengi zaidi ya ligi ya NBC Tanzania Bara.