Orodha ya Makombe yenye Thamani Kubwa Zaidi Barani Ulaya, Habari mwanamichezo wa Kisiwa24, Makala itaenda kuangazi makombe yenye thamani kubwa zaidi ulaya kwa ujumla wake.
Kama wewe ni mpenzi wa soka basi sina shaka utakua na shahuku ya kutaka kufahamu miongoni mwa makombe unayoyafahamu ni kombe lipi linathamani zaidi ya jingine kwa ligi na michuano ya barani ulaya.
Orodha ya Makombe yenye Thamani Kubwa Zaidi Barani Ulaya
Hapa chini ni orodha ya makombe manne yenye thamani kubwa zaidi ulaya
1. Kombe la Dunia La FIFA (FIFA World Cup)
- Kombe hili hushindaniwa na mataifa mbalimbali Duniani kupitia timu zao za Taifa
- Limathamani ya karibia Dola Milioni 30
- Hili ndio kombe leney thamani na hadhi kubwa zaidi kuliko makombe yote
2. Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions Leuge)
- Kombe la vilabu bingwa barani ulaya
- Linathamai ya zaidi ya Euro Milion 17, sawa n Dola milioni 18.5
- Hili ndio kombe lenye thamani kubwa kuliko jingine lolote lile duniani upande wa mashindano ya vilabu
3. FA Cup
- Kombe hili liko nchini Uingereza na hujumuisha klabu mbalimbali
- Lina thamani ya zaidi ya Euro Milioni 1 sawa na Dola Milioni 1.3
4. UEFA Super Cup
- Kombe hili hushindaniwa na washindi wa EUFA Champions Leuge na washindi kutoka EUFA Europa League
- Linathamani ya chini ya Euro Milioni 1
Hitimisho
Haya ndio makombe yenye thamani zaidi barani ulaya, lakini kombe la dunia ndio linaloshikilia rekodi ya kua na thamani zaidi kuliko kombe jingine lolote lile.Je wewe unafahamu kombe lipi lenye thamani kubwa zaidi barani ulaya? embu acha komenti yako kwenye uwanja wa meseji hapo chini.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Listi ya Wachezaji Waliocheza Mechi Nyingi zaidi Timu ya Taifa Tanzania
2. Ratiba Ya Ligi Kuu England 2024/2025