Msimamo wa Kundi la Simba Sc Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025, Nafasi ya Simba Kombe la Shirikisho, Msomao wa kundi A kombe la shirikisho 2024/2025,Habri mwanasoka wa Kisiwa24 Blog, kaeibu katika makala hii fupi itakakayoenda kukuonyesha msimamo wa kundi A, kundi la Simba kombe la shirikisho Afrika 2024/2025.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Msimamo wa Kundi la Simba Sc Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
Je wewe ni shabiki wa club ya wekundu wa msimbazi Simba, basi huna budi kuafuatilia msimamo wa kundi A kundi la Simba SC kwenye kombe la shirikisho Afrika 2024/2025.
Timu Zinmazounda Kundi A
- Simba SC (Tanzania)
- CS Sfaxien (Tunisia)
- CS Constantine (Algeria)
- FC Bravos do Maquis (Angola)
Msimamo wa Kundi la Simba Sc Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
Hapa chini ni msimamo wa kundi A kombe la shirikisho Afrika 2024/2025 katika hatua hii ya makundi. Michezo iliyochezwa hadi sasa ni michezo miwili
- CS Constantine Point 6 (Mechi 2, Imeshinda michezo Yote)
- FC Bravos do Maquis point 3 (Mechi 2, Imeshinda mechi 1 na Kupoteza mechi 1)
- Simba SC Point 3 (Mechi 2, Imeshinda mechi 1 na Kupoteza mechi 1)
- CS Sfaxien Point 0 (Mechi 2, Imepoteza mechi zote 2)
Nafasi ya Simba Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
Hadi sasa Simba amecheza michezo 2 na kushinda mchezo 1 na kupoteza mchezo 1. Bado anamichezo 4 miwili nyumbani na miweili ugenini.
Embu tuambie wewe kama shabiki wa mpira ipi nafasi ya Simba kwenye kundi A kombe la shirikisho Afrika 2024/2025.