Orodha ya App 69 Za Mikopo Zilizofungiwa na Bot
Habari mwanahabarika24, Karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukuonyesha orodha ya application 69 za utoaji mikopo kidijitali ambazo zimefungiwa utoaji wa huduma hizo kutokana na sababu kadha wa kadha.
Kutokana na maendeleo ya kitekinolojia Tanzania imeshuhudia ongezeko kubwa na huduma za mikopo ya kifedha kwa njia ya mtando. Hii ni kutokana na mahitaji ya kidharura ya kifedha kwa watanzania waliowengi.
Ongezeko hili limepelekea kuwepo hata kwa application za kitapeli nabzenye liba kubwa hata kuwepo kwa application/ taasisi zinazotoa huduma pasi na kukidhi vigezo.
Banki kuu ya Tanzania BOT imefikia maamuzi ya kufungia taasisi (Application) 69 kutokana na kutokua nablesini na kutokukidhi zigezo vya utoaji huduma hizo za mikopo ya pesa kwa mujibu wa BOT.
BOT imetia katizo la program hizo 69 kito endelea na utoaji wa huduma hizo za mikopo ya kifedha na kuutaadharisha umma kutotumia program hizo kwani hazina vibali wala leseni.
Orodha ya App 69 Za Mikopo Zilizofungiwa na Bot
Hapa chini ni orodha ya App 69 zilizofungiwa na BOT
- BoBa Cash,
- Bolla Kash-Bolla Kash
- Financial Credit,
- BongoPesa
- Personal Online Loan,
- Cash Mkopo,
- Cash Pesa,
- Cash poa,
- Cash mama,
- CashX,
- Credit Land,
- Eaglecash Tz,
- Fast Mkopo,
- Flower Loan n
- Fun Loan
- Fundflex,
- Get cash,
- Get loan,
- Getpesa Tanzania,
- Hakika loan,
- Hewa Mkopo,
- Hi cash,
- HiPesa,
- Jokate Foundation Imarisha Maisha,
- Kopako pa,
- Kwanza loan,
- L-pesa Microfinance,
- Land cash,
- Loanplus,
- M-Safi,
- Mkopo Express,
- Mkopo Extra,
- Mkopo haraka
- Mkopohuru
- Mkoponafuu,
- Mko powako,
- Money Tap,
- Mpaso chap loan Mkopo kisasa,
- Mum loan,
- My credit,
- Nikopeshe App,
- Nufaika Loans,
- Okoa Maisha Mkopofast,
- Pesa M,
- Pesa Rahisi,
- PesaPlus,
- PesaX,
- Pocket loan,
- Pop Pesa,
- Premier loan,
- Safe pesa
- SasaMkopo
- Silk loan,
- Silkda Credit,
- Soko loan,
- Sunloan,
- Sunny Loan,
- Swift Fund,
- TALA,
- TikCash,
- Twiga Loan,
- TZcash,
- Umoja,
- Usalama
- Uwakika,
- Mkopo Dk15,
- Ustawi loan,Viva Mkopo Limited,
- VunaPesa
- Yes Pesa na Zima Cash.
Benki kuu ya Tanzania BOT inashilikiana kwa karibu na mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) ili kuhakikisha program hizo zote zinafungiwa mna kuacha kufanya kazi kwakua hazikukidhi zigezo wala kua nalesseni.