Kisiwa24 BlogKisiwa24 BlogKisiwa24 Blog
  • Ligi Ya NBC
    • Ratiba Ya NBC Tanzania
    • Msimamo NBC Tanzania
  • Makala
  • Ajira Mpya
  • Michezo
  • Vyuo Vyote
    • Kozi Zitolewazo Na Vyuo
    • Ada Za Vyuo
    • Sifa za Kujiunga Na Vyuo
    • Jnsi ya Kujiunga Na Vyuo
  • Education
    • Secondary Notes
      • O’ Level Notes
        • Form One
        • Form Two
        • Form Three
        • Form Four
      • A’ Level Notes
        • Form 5
        • Form 6
    • Secondary Syllabus
      • Primary Syllabus
      • O’ Level Syllabus
      • A’ Level Syllabus
  • Technology
    • Phone Review
© 2025 Kisiwa24 Blog. All Rights Reserved.
Reading: Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC) December 2024
Share
Font ResizerAa
Kisiwa24 BlogKisiwa24 Blog
Font ResizerAa
  • Ligi Ya NBC
    • Ratiba Ya NBC Tanzania
    • Msimamo NBC Tanzania
  • Makala
  • Ajira Mpya
  • Michezo
  • Vyuo Vyote
    • Kozi Zitolewazo Na Vyuo
    • Ada Za Vyuo
    • Sifa za Kujiunga Na Vyuo
    • Jnsi ya Kujiunga Na Vyuo
  • Education
    • Secondary Notes
    • Secondary Syllabus
  • Technology
    • Phone Review
  • Ligi Ya NBC
  • Makala
  • Ajira Mpya
  • Michezo
  • Vyuo Vyote
  • Education
  • Technology
© 2025 Kisiwa24 Blog. All Rights Reserved.
Home » Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC) December 2024
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC) December 2024

Kisiwa24
Last updated: December 3, 2024 12:21 pm
Kisiwa24
Share
SHARE
MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC) December 2024

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-03-2024 na tarehe 12-09-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana. Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Muhimu;

Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.

Bonyeza HAPA kupakua Majina Yote

Maprndekezo Ya Mhariri;

1. Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Banki ya Standard December 2024

2. Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Shirika la Ndege la Oman

3. Nafasi za Kazi ya Walimu Kutoka Christian Private School Lushoto

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

You Might Also Like

Jinsi ya Kubadili Combination Form Five – Tamisemi Selform MIS 2025

Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Agosti 2024

Nafasi za Kazi – Business Development Representative at Tridge February 2025

Nafasi za Kazi – Sales and Marketing Executive at Giraffe Oil April 2025

Nafasi za Kazi – Sales Executive at Diageo

Share This Article
Facebook Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link Print
What do you think?
Love0
Happy0
Joy0
Sad0
Previous Article Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Banki ya Standard December 2024 Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Banki ya Standard December 2024
Next Article Habari za Kwenye Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano 04 December 2024 Habari za Kwenye Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano 04 December 2024
Leave a review

Leave a Review Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Please select a rating!

banner banner
Kwa Matangazo ya Ajira Mpya 2025
Je unatafuta kazi? basi kutazama nafasi mpya za kazi zinazitoka kila siku bonyeza BUTTON hapo chini
Bofya HAPA

Latest News

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026 Mkoa wa Mtwara
Uncategorized
KIKOSI Cha Simba Sc vs KMC leo 11 May 2025
KIKOSI Cha Simba Sc vs KMC leo 11 May 2025
Michezo
Nafasi za Kazi Tradesperson 1 - Mechanic at Geita Gold Mining Ltd (GGML) May 2025
Nafasi za Kazi Tradesperson 1 – Mechanic at Geita Gold Mining Ltd (GGML) May 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025
Nafasi za Kazi Courier at DHL Group May 2025
Nafasi za Kazi Courier at DHL Group May 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025
Msimamo wa ligi kuu ya NBC
Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
Michezo
Mabasi Ya Dar To Morogoro
Mabasi Ya Dar To Morogoro
Makala

You Might also Like

Nafasi za Kazi - Retail Sales Associate at Puma Group February 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafasi za Kazi – Retail Sales Associate at Puma Group February 2025

Kisiwa24 Kisiwa24 3 Min Read
Receptionist Job Vacancy at Ramada Resort Hotel April 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Receptionist Job Vacancy at Ramada Resort Hotel April 2025

Kisiwa24 Kisiwa24 4 Min Read
Nafasi 5 za Kazi at Barrick Gold Mine
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafasi 5 za Kazi at Barrick Gold Mine

Kisiwa24 Kisiwa24 15 Min Read
Tangazo la Kuitwa Kazini Bunge la Dododma 4-9-2024
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Tangazo la Kuitwa Kazini Bunge la Dododma 4-9-2024

Kisiwa24 Kisiwa24 2 Min Read
Nafasi za Kazi - Finance Manager at TPC Ltd March 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafasi za Kazi – Finance Manager at TPC Ltd March 2025

Kisiwa24 Kisiwa24 2 Min Read
Nafsi za Kazi - Relationship Manager at Exim Bank March 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafsi za Kazi – Relationship Manager at Exim Bank March 2025

Kisiwa24 Kisiwa24 3 Min Read
Kisiwa24 BlogKisiwa24 Blog
© 2025 Kisiwa24 Blog All Rights Reserved.
adbanner