Nafasi ya Yanga Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025, msimamo wa Klabu ya Yanga ligi kuu ya NBC 2024/2025, Habari mwanamichezo wa habarika 24, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongozo wa nafasi ya klabu ya Yanga kwenye kombe la ligi kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Kama wewe ni shabiki harisi wa klabu ya wanajangwani Yanga Sc basi natumaini lazima utahitazi kujua updates za klabu yako kwenye michuano ya ligi kuu ya NBC, Hapa katika makala hii tutaenda kukuonyesha nafsi aliyonayo Yanga kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC 2024/2025, Mechi alizo cheza na matokeo ya klabu ya Yanga kwa michezo amabyo Tayari amesha icheza kwenye ligi kuu ya NBC 2024/2025 hadi sasa.
Nafasi ya Yanga Kwenye Msimamo wa Ligi kuu ya NBC 2024/2025
Ligi kuu ya NBC imesha anzanza kutimua mbio zake na hadi sasa ni jumla ya michezo 12 imesha chezwa kwa baadhi ya timu huku timu nyingine zikiwa zimecheza michezo 11. Yanga Sc ni miongoni mwa timu zinazoshiriki katika michuano ya ligi kuu ya NBC kwa msimu huu wa 2024/2025, na ikumbukwe kua klabu ya Yanga ndio Bingwa mtetezi wa kombe la ligi kuu ya NBC kwani ndiuo klabu iliyotwaa ubingwa wa msimu wa 2023/204 ikimaliza kileleni kwa kujukusanyia pointi 80.
- Kwa msimu huu mpya baada ya michezo 11 klabu ya Yanga iko katika nafasi ya 2 ikiwa na jumla ya pointi 27
- Katika michezo 11, Yanga SC imeshinda michezo 9 na kufungwa michezo 2

Matokeo Ya Yanga Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
Hapa chini tunaenda kukuwekea matokeo ya michezo yote ya klabu ya Yanga katika ligi kuu ya NBC kwa msimu wa 2024/2025
12. 30/11/24
Namungo 0 – 2 Young Africans
11. 21/11/24
Young Africans 0 – 0 Singida Fountain Gate
10. 07/11/24
Young Africans 1 – 3 Tabora United
9. 02/11/24
Young Africans 0 – 1 Azam
8. 30/10/24
Singida Black Stars 0 – 1 Young Africans
7. 26/10/24
Coastal Union 0 – 1 Young Africans
6. 22/10/24
Young Africans 2 – 0 JKT Tanzania
5. 19/10/24
Simba SC 0 – 1 Young Africans
4. 03/10/24
Young Africans 4 – 0 Pamba Jiji
3. 29/09/24
Young Africans 1 – 0 KMC
2. 25/09/24
KenGold 0 – 1 Young Africans
1. 29/08/24
Kagera Sugar 0 – 2 Young Africans
Michuano Mingine Inayoshiriki Klabu ya Yanga 2024/2025
Nje ya ligi kuu ya NBC Tanznia bara pia klabu ya Yanga inashiliki katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika katika hatua ya makundi. Yanga imepangwa katika kundi A na tmu nyingine nne.Ili kupata updates za klabu ya Ynga kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika 2024/2025 tafadhari BONYEZA HAPA
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Jezi Mpya Za yanga SC Kimataifa CAF 2024/2025
2. Ratiba Ya Mechi Za Yanga Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025
3. Kikosi Cha Yanga Msimu Wa 2024-2025