Jezi Mpya Za yanga SC Kimataifa CAF 2024/2025, Klabu ya Yanga ali maarufu kama wana jangwani wamezindua jezi zao mpya amabzo ndio zitakazotumika katika michuano ya kimataifa kwenye ligi ya klabu bingwa Afrika katika msimu huu mpya wa 2024/2025
Ikumbukwe kua klabu ya Yanga ndio klabu pekee iliyobakia katika michuano ya klabu bingwa Afrika kwenye msimu huu wa 2024/2025 katika hatua ya makundi baada ya klabu ya Azam FC kutolewa.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Yanga ametambulisha jezi zake hizo huku akitarajia kucheza mchezo wake wa kwanza katika hatua ya makundi akiwa nyumbani tarehe 29 N0vemba 2024 akimkalibisha Al Hilal SC

Jezi Mpya Za yanga SC Kimataifa CAF 2024/2025
Baada ya kutangaza viingilio vya mchezo wa Yanga dhidi ya Al Hilal Sudan Klabu ya Yanga pia imezindua jezi zake mpya ikakazozitumia kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika. Ambapo jezi hizo zime gawanywa katika makundi matatu
- Home Kit
- Away Kit
- Third Kit
Hapa chini tumekuwekea picha zenye kuonyesha muonekano wa jezi mpya za Yanga CAF 2024/2025
Kundi la Ynaga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
Yanga amepangwa kundi A kwenye hatua ya makundi klabu bingwa Afrika 2024, Kundi A linaundwa na timu 4 ambazo ni;
- Young Africans
- Al Hilal SC
- TP Mazembe
- MC Alger
Ratiba ya Kundi A La Ynaga Klabu Bingwa Afrika 2024
Hapa chini ni ratiba ya michuano ya klabu bingwa Afrika kwa kundi A ambalo Yanga ipo
Tarehe | Mechi |
---|---|
MD 1 (29 Nov – 1 Dec) | TP Mazembe vs MC Alger |
Young Africans vs Al Hilal SC | |
MD 2 (6 – 8 Dec) | Al Hilal SC vs TP Mazembe |
MC Alger vs Young Africans | |
MD 3 (13 – 15 Dec) | MC Alger vs Al Hilal SC |
TP Mazembe vs Young Africans | |
MD 4 (3 – 5 Jan) | Al Hilal SC vs MC Alger |
Young Africans vs TP Mazembe | |
MD 5 (10 – 12 Jan) | MC Alger vs TP Mazembe |
Al Hilal SC vs Young Africans | |
MD 6 (17 – 19 Jan) | TP Mazembe vs Al Hilal SC |
Young Africans vs MC Alger |
Mapendekezo Ya Mhariri;
1. Jezi Mpya Za Simba SC Kimataifa Msimu Wa 2024/2025
2. Ratiba ya Simba SC Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
3. Ratiba Ya Mechi Zote Za Yanga Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025