Kisiwa24 BlogKisiwa24 BlogKisiwa24 Blog
  • Ligi Ya NBC
    • Ratiba Ya NBC Tanzania
    • Msimamo NBC Tanzania
  • Makala
  • Ajira Mpya
  • Michezo
  • Vyuo Vyote
    • Kozi Zitolewazo Na Vyuo
    • Ada Za Vyuo
    • Sifa za Kujiunga Na Vyuo
    • Jnsi ya Kujiunga Na Vyuo
  • Education
    • Secondary Notes
      • O’ Level Notes
        • Form One
        • Form Two
        • Form Three
        • Form Four
      • A’ Level Notes
        • Form 5
        • Form 6
    • Secondary Syllabus
      • Primary Syllabus
      • O’ Level Syllabus
      • A’ Level Syllabus
  • Technology
    • Phone Review
© 2025 Kisiwa24 Blog. All Rights Reserved.
Reading: Nafasi Mpya Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa ya Musoma Novemba 2024
Share
Font ResizerAa
Kisiwa24 BlogKisiwa24 Blog
Font ResizerAa
  • Ligi Ya NBC
    • Ratiba Ya NBC Tanzania
    • Msimamo NBC Tanzania
  • Makala
  • Ajira Mpya
  • Michezo
  • Vyuo Vyote
    • Kozi Zitolewazo Na Vyuo
    • Ada Za Vyuo
    • Sifa za Kujiunga Na Vyuo
    • Jnsi ya Kujiunga Na Vyuo
  • Education
    • Secondary Notes
    • Secondary Syllabus
  • Technology
    • Phone Review
  • Ligi Ya NBC
  • Makala
  • Ajira Mpya
  • Michezo
  • Vyuo Vyote
  • Education
  • Technology
© 2025 Kisiwa24 Blog. All Rights Reserved.
Home » Nafasi Mpya Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa ya Musoma Novemba 2024
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafasi Mpya Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa ya Musoma Novemba 2024

Kisiwa24
Last updated: November 23, 2024 1:26 pm
Kisiwa24
Share
SHARE
MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma amepokea kibali cha ajira kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024. Hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi kwa nafasi tatu (3) kama zilivyoainishwa kwa kuzingatia sifa tajwa:-

Contents
DEREVA DARAJA LA II NAFASI 03MHUDUMU WA JIKONI DARAJA LA II NAFASI (02)MSAIDIZI WA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II– NAFASI 01Mapendekezo Ya Mharirir;

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

DEREVA DARAJA LA II NAFASI 03

MAJUKUMU YA KAZI

  1. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari.
  2. Kupeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi.
  3. Kufanya marekebisho madogo madogo ya gari.
  4. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
  5. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari
  6. Kufanya usafi wa gari na
  7. Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.

SIFA ZA MWOMABAJI

  • Awe na elimu ya kidato cha nne na Leseni daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usioupungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya uendeshaji magari (Basic driving Course) yanayotolewa na
  • Chuo cha mafunzo ya ufundi stadi (VETA) au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA

  • Mshahara utalipwa kwa kuzingatia viwango vya Serikali TGS B

MHUDUMU WA JIKONI DARAJA LA II NAFASI (02)

KAZI NA MAJUKUMU

  • Kusafisha vyombo vya kupikia
  • Kusafisha vyombo vya kulia chakula
  • Kusafisha sehemu ya kulia chakula
  • Kuwatayarishia Wapishi/Waandazi vifaa vya kazi
  • Kusafisha maeneo ya kupikia

SIFA ZA MWOMBAJI

  • Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV wenye cheti cha mafunzo ya uhudumu wa jikoni cha mwaka mmoja (1) kutoka VETA au chuo kinachotambuliwa na Serikali.

MSHAHARA

  • Mshahara utalipwa kwa kuzingatia viwango vya Serikali TGOS A

MSAIDIZI WA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II– NAFASI 01

KAZI YA MAJUKUMU

  1. Kuratibu shughuli za maendeleo katika Mtaa zikiwemo za wanawake na watoto na zikizingatia jinsia.
  2. Kuwezesha jamii kushiriki katika kubuni kupanga, kutekeleza, kusimamia, kutathimini mipango/ miradi ya maendeleo.
  3. Kuhamasisha na kuwawezesha wananchi kupanga, kutekeleza kazi za maendeleo ambazo ni pamoja na usafi wa mazingira, ujenzi wa shule, zahanati, majosho na ujenzi wa nyumba bora.
  4. Kuratibu shughuli za kupambana na UKIMWI
  5. Kuratibu shughuli za Mashirika na Asasi zisizo za Kiserikali na za kijamii.
  6. Kusaidia shughuli za kinga za magonjwa ya watoto wadogo eneo la kituo
  7. Kuwa kiongozi wa kituo cha kulea watoto

SIFA ZA MWOMBAJI

  • Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliofuzu mafunzo ya cheti kwenye fani ya Maendeleo ya Jamii katika vyuo vya Maendeleo ya Jamii au vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

MSHAHARA

  • Mshahara utalipwa kwa kuzingatia viwango vya Serikali TGS B

MASHARTI YA JUMLA

  1. Waombaji wote wawe Raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45 na usiopungua umri wa miaka 18
  2. Waombaji wote waambatanishe na cheti cha kuzaliwa
  3. Waombaji waambatanishe maelezo binafsi “CV” yenye anuani na namba za simu na majina ya wadhamini (Referees) wa kuaminika
  4. Waombaji wote waweke nakala za vyeti vya taaluma, na vyeti vya kidato cha Nne na sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika kwenye ajira portal.
  5. Testimonials “Provisional result”, “Statement of Result”, hati za matokeo ya matokeo ya kidato cha Nne na Sita HAVITATAKUBALIWA
  6. Waombaji wote waweke picha mbili “passport Size”, ya hivi karibuni katika ukurasa wa ajira portal
  7. Waombaji wote waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na vimethibitishwa na mamlaka husika ya TCU, NACTE na NECTA).
  8. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi.
  9. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na. CAC.45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010

Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.

MUHIMU Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;-

Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielekroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anwani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz/ (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’).

Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/11/2024.

Mapendekezo Ya Mharirir;

1. Nafasi Mpya Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa Ya Iringa

2. Nafasi Mpya 36 Za Kazi Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo

3. Nafasi Mpya 34 Za Kazi Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania 

4. Nafasi Mpya 40 za Kazi Kampuni ya Angela Peace and Love

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

You Might Also Like

Nafasi Mpya 34 Za Kazi Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Novemba 2024

Nafasi za Kazi Chuo cha Bugando (CUHAS) Desemba 2024

Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Septemba 2024

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Kada Za Afya Majina Ya Nyongeza Septemba 2024

Nafasi za kazi Afisa Ushirika Daraja La II Kutoka MDAs na LGAs Nafasi 27 August 2024

Share This Article
Facebook Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link Print
What do you think?
Love0
Happy0
Joy0
Sad0
Previous Article Viingilio Mechi Ya Yanga Vs Al Hilal Sudan Jumanne 26 Novemba 2024 Viingilio Mechi Ya Yanga Vs Al Hilal Sudan Jumanne 26 Novemba 2024
Next Article Jezi Mpya Za yanga SC Kimataifa Msimu Wa 2024/2025 Jezi Mpya Za yanga SC Kimataifa CAF 2024/2025
Leave a review

Leave a Review Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Please select a rating!

banner banner
Kwa Matangazo ya Ajira Mpya 2025
Je unatafuta kazi? basi kutazama nafasi mpya za kazi zinazitoka kila siku bonyeza BUTTON hapo chini
Bofya HAPA

Latest News

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026 Mkoa wa Mtwara
Uncategorized
KIKOSI Cha Simba Sc vs KMC leo 11 May 2025
KIKOSI Cha Simba Sc vs KMC leo 11 May 2025
Michezo
Nafasi za Kazi Tradesperson 1 - Mechanic at Geita Gold Mining Ltd (GGML) May 2025
Nafasi za Kazi Tradesperson 1 – Mechanic at Geita Gold Mining Ltd (GGML) May 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025
Nafasi za Kazi Courier at DHL Group May 2025
Nafasi za Kazi Courier at DHL Group May 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025
Msimamo wa ligi kuu ya NBC
Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
Michezo
Mabasi Ya Dar To Morogoro
Mabasi Ya Dar To Morogoro
Makala

You Might also Like

Nafasi 5 za Kazi Kutoka AB InBev January 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafasi 5 za Kazi Kutoka AB InBev January 2025

Kisiwa24 Kisiwa24 2 Min Read
Quantity Surveyor Job Vacancy at GSM April 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Quantity Surveyor Job Vacancy at GSM April 2025

Kisiwa24 Kisiwa24 4 Min Read
Nafasi za Kazi - Senior Accountant at Wajenzi Professional Co. Ltd March 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafasi za Kazi – Senior Accountant at Wajenzi Professional Co. Ltd March 2025

Kisiwa24 Kisiwa24 1 Min Read
Nafasi za Kazi - Installation and Maintenance Head at Airtel March 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafasi za Kazi – Installation and Maintenance Head at Airtel March 2025

Kisiwa24 Kisiwa24 5 Min Read
Majina Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma 25 January 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Majina Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma 25 January 2025

Kisiwa24 Kisiwa24 2 Min Read
Nafasi ya Kazi - Fleet Coordinator at Alistair April 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafasi ya Kazi – Fleet Coordinator at Alistair April 2025

Kisiwa24 Kisiwa24 3 Min Read
Kisiwa24 BlogKisiwa24 Blog
© 2025 Kisiwa24 Blog All Rights Reserved.
adbanner