Nafasi Mpya Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa Ya Iringa Novemba 2024
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kuomba nafasi ya kazi iliyotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb Na. FA. 170/363/01A/116 cha tarehe 25 Septemba, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya UtumishiwaUmmanaUtawalaBora.
MHUDUMUWAJIKONIDARAJAII-(NAFASI 4)
MAJUKUMUYAKAZI
- Kusafishavyombovya kupikia;
- Kusafishavyombovyakulia chakula;
- Kusafishasehemuyakulia chakula;
- KuwatayarishiaWapishi/Waandazi vifaavya kazi;
- Kusafishamaeneoya kupikia.
- AweamehitimuElimuyaKidatochaNne(IV)
- Mwenye cheti cha mafunzo ya mwaka mmoja ya Uhudumu wa Jikoni kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali
- Ngazi ya mshahara ni TGOSA
- Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini Serikalini;
- Waombaji wenyeulemavu wanahamasishwa kutu mamaombi na wanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa
SekretarietiyaAjirakatikaUtumishiwa Umma;
- Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na Mwanasheria/ Wakili;
- Waombaji ambaotayarini watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
- Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
- Maombi yote yaambatane na cheti cha taaluma, maelezo, nakala za vyeti vilivyothibitishwa na Mwanasheria/ Wakili ambavyo ni vyeti vya Kidato cha Nne na cheti cha kuhitimu mafunzo ya Uhudumu wa jikoni.
Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuombai sipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuli wahatua za kisheria.
Muhimu: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (RecruitmentPortal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovutiya Sektretarieti ya Ajirak wakuingia sehemu iliyoandikwa‘ Recruitment Portal’).
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe02/12/2024.
Mapendekezo Ya Mhariri;
1. Nafasi Mpya 36 Za Kazi Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) Novemba 2024
2. Nafasi Mpya 34 Za Kazi Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC)
3. Nafasi Mpya 40 za Kazi Kampuni ya Angela Peace and Love
4. Nafasi Mpya 99 Za Kazi Taasisi Mbalimbali Za Umma Novemba 2024