Tanzania Vs Ethiopia Kufudhu AFCON Leo 16-12-2024, Habari mwanamichezo wa Habarika24, karibu katika makala hii fupi ambayo itaenda kukupa mwongozo wa mechi kati ya Ethiopia na Tanzania unaofanyika leo jumamosi 16-11-2024
Leo Tanzania inakutana na Ethiopia ugenini ikiwa imecheza michezo minne katika michuano ya kufudhu AFCON ikiwa imeshinda mchezo 1, imedraw mchezo mmoja na kufungwa michezo 2, kwa sasa Tanzania ina jumla ya pointi 4 ikiwa katika nafasi ya 3.
Tanzania Vs Ethiopia Kufudhu AFCON Leo 16-12-2024
Hapa tutaenda kuangalia kikosi cha Taifa Stars (Tanzani) dhidi ya Ethiopia, Msimamo wa Africa Cup of Nations qualification kwa gourp H. Tanzania inakuna na ethiopia ikiwa katika nafasi ya 3 huku ethiapia akiwa katika nafasi ya nne, Tanzania anahitaji pointi 3 katika mchezo huu ili kuweza kujisogeza katika nafasi ya pili kwa kuwa na pointi 7 kwani kwa sasa ana pointi 4.
Kikosi Cha Taifa Stars (Tanzania) Vs Ethiopia
Hapa chini ni majina ya wachezaji 23 amabo wameitwa kwenye Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwenye michuano ya kufudhu AFCON 2025
- Ally Salim – Simba SC
- Abdultwalib Mshery – Young Africans
- Yona Amos – Pamba SC
- Lusajo Mwaikenda – Azam FC
- Nathaniel Chilambo – Azam FC
- Mohamed Hussein – Simba SC
- Dickson Job – Young Africans
- Pascal Msindo – Azam FC
- Ibrahim Hamad – Young Africans
- Bakari Nondo – Young Africans
- Nickson Kibabage – Young Africans
- Abdulmalik Zakaria – Mashujaa FC
- Adolf Mtasigwa – Azam FC
- Himid Mao – Tala’a El Geish, Misri
- Novatus Dismas – Goztepe, Uturuki
- Mudathir Yahya – Young Africans
- Hussein Semfuko – Coastal Union
- Edwin Balua – Simba SC
- Feisal Salim – Azam FC
- Wazir Junior – Dodoma Jiji
- Cyprian Kachwele – Vancouver Whitecaps, Canada
- Clement Mzize – Young Africans
- Abel Josiah – TDS TFF Academy
Hapo juu ni majina ya wachezaji wanaounda kikosi cha Taifa la Tanzania (Staifa Stars) na kutoka katika majina hayo miongoni mwao ndio watakao unda kikosi cha leo cha Taifa Stars dhidi ya Ethiopia.
Munda wa Kuanza Kwa Mechi
Mchezo huu unatarajiwa kuanza majira ya saa 19:00 jioni
Timu Zinazo Unda Group H
Kundi H amabalo Tanznia imo linaundwa na timu 4 ambazo ni
- Dr Congo
- Guinea
- Tanzania
- Ethiopia
Msimao wa Kundi H La Tanzania Kufudhu AFCON 2025
Kundi H lenye timu 4, ilnaongoza na Dr Congo, hapa chini ni msimamo wa kundi H kwenye kufudhu AFCON 2025
- Dr Congo – anajumla ya pointi 12
- Guinea – anajumla ya pointi 6
- Tanzania – anajimla ya pointi 4
- Ethiopia – anajumla ya pointi 1
Matokeo ya Tanzania vs Ethiopia Kufudhu AFCON Leo 16/11/1014
mchezo unatarajiwa kuanza majira ya 19:00 za jioni, hivyo basi mara baada ya mchezo kuanza na kumalizika tutakuwekea hapa matokeo ya mchezo huo
Ethiopia 0 – 0 Tanzania