Iran Yaua 18 Shambulio la Israel October 1
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU
Wa Israel 18 wameripotiwa kupoteza maisha baada ya shambulio kali lililofanywa na Iran mnamo tarehe 1 October mwaka huu. Iran iliweza kutuma zaidi ya makombola 180 nyenye aina ya balisti kwa inchi ya Israel yaliopelekea vifo vya watu 18 na majeruhi
Kutokana na shambulio hilo imepelekea Uingereza kuweza kutangaza vikwazo la baadhi ya maafisa wa kijeshi wa taifa la Iran. kufuatia shambulio hilo.
Waliowekew vizui ni pamoja na
- Abdolrahim Mousavi – Ambaye ni kamanda wa jeshi la Iran
- Hamid Vahedi – kamanda wa jeshi la anga la Iran
- Mjumbe wa Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran
Vikwazo vilivyowekwa kwao ni pamoja na kutokusafiri nje ya nchi na mali zao zote kuzuiliwa, hayo yameweza kusemwa na wizara ya mambo ya nje ya Uingereza.
Taarifa kutoka Israel zinasema makombora mengi yaliweza kuzuiliwa wakati yalipokua yakifanya shambulizi kutokea Iran.