Ratiba Ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 (CAF confederation Cup 2024/2025)

Ratiba Ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

Ratiba Ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 (CAF confederation Cup 2024/2025)

Tangazo

Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga

BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU

Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) 2024/2025 linaendelea kuwa tukio muhimu katika kalenda ya soka Afrika. Mashindano haya yanayosubiriwa kwa hamu yataandaliwa katika nchi kadhaa za Afrika, na yanatarajiwa kuleta msisimko na ushindani mkali kati ya timu bora zaidi barani Afrika.

Mchujo wa CAF 2024/2025 umegawanywa katika makundi 4, huku kila kundi likiwa na idadi ya Timu 4.

Ratiba Ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

  • M41 & 42: EL KANEMI W. FC 🇳🇬 vs DADJE FC 🇹🇬 vs RS BERKANE 🇲🇦
  • M43 & 44: ASCK 🇹🇬 vs AS FAN 🇳🇪 vs ASEC MIMOSAS 🇨🇮
  • M45 & 46: PAYNESVILLE FC 🇱🇷 vs FOVU DE BAHAM 🇨🇲 vs STADE MALIEN 🇲🇱
  • M47 & 48: HAFIA FC 🇬🇳 vs RAHIMO FC/EFO 🇧🇫 vs ENYIMBA FC 🇳🇬
  • M49 & 50: UTS 🇲🇬 vs RC ABIDJAN 🇨🇮 vs EAST END LIONS FC 🇸🇱 vs ASC JARAAF 🇸🇳
  • M51 & 52: KENYA POLICE FC 🇰🇪 vs ETHIOPIAN COFFEE 🇪🇹 vs ZAMALEK SC 🇪🇬
  • M53 & 54: JAMUS FC/JUBA 🇸🇸 vs STADE TUNISIEN 🇹🇳 vs USMA 🇩🇿
  • M55 & 56: UHAMIAJI FC 🇹🇿 vs LIBYA 1 🇱🇾 vs SIMBA SC 🇹🇿
  • M57 & 58: KITARA FC 🇺🇬 vs LIBYA 2 🇱🇾 vs EL MASRY 🇪🇬
  • M59 & 60: HORSEED FC 🇸🇴 vs RUKINZO FC 🇧🇮 vs CS SFAXIEN 🇹🇳
  • M61 & 62: N. HOTSPURS FC 🇿🇦 vs STELLENBOSCH FC 🇿🇦 vs AS VITA CLUB 🇨🇩
  • M63 & 64: ELGECO PLUS 🇲🇬 vs CD LUNDA-SUL 🇦🇴 vs SEKHUKHUNE UTD 🇿🇦
  • M65 & 66: FC BRAVOS 🇦🇴 vs COASTAL UNION SC 🇹🇿 vs FC LUPOPO 🇨🇩
  • M67 & 68: ALIZE FORT 🇩🇯 vs A. BLACK BULLS 🇸🇿 vs FC 15 DE AGOSTO 🇦🇴 vs AS OTOHO 🇨🇬
  • M69 & 70: FORESTERS FC 🇸🇱 vs ORAPA UNITED 🇧🇼 vs DYNAMOS FC 🇿🇼 vs ZESCO UNITED 🇿🇲
  • M71 & 72: NSOATREMAN FC 🇬🇭 vs TP ELECT SPORT 🇹🇩 vs CS CONSTANTINE 🇩🇿 vs POLICE FC 🇷🇼
Ratiba Ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
Ratiba Ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

Makundi ya Kombe la Shirikisho CAF 2024/2025

Kundi A

  • Simba SC (Tanzania)
  • CS Sfaxien (Tunisia)
  • CS Constantine (Algeria)
  • FC Bravos do Maquis (Angola)

Kundi B

  • RS Berkane (Morocco)
  • Stade Malien (Mali)
  • Stellenbosch FC (South Africa)
  • CD Lunda-Sul (Angola)

Kundi C

  • USM Alger (Algeria)
  • ASEC Mimosas (Ivory Coast)
  • ASC Jaraaf (Senegal)
  • Orapa United (Botswana)

Kundi D

  • Zamalek SC (Egypt)
  • Al Masry SC (Egypt)
  • Enyimba FC (Nigeria)
  • A. Black Bulls (Mozambique)

Ratiba ya Mechi Za Simba Sc

1. Simba SC vs FC Bravos do Maquis
Tarehe: 27 November 2024
Uwanja: Nyumbani

2. CS Constantine vs Simba
Tarehe: 8 December 2024

3. Simba Sc Vs CS Sfaxien
Tarehe: 15 December 2024
Uwanja: Numbani

4. CS Sfaxien vs Simba Sc
Tarehe: 05 Januari 2025
Uwanja: Ugenini

5. FC Bravos do Maquis Vs Simba
Tarehe: 12 Januari 2025
Uwanja: Ugenini

6. Simba Sc Vs CS Constantine
Tarehe: 19 Januari 2025
Uwanja: Nyumbani

Muundo wa Mashindano

Msimu huu, mashindano yatakuwa na vilabu 54 kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Vilabu hivi vitapitia hatua mbalimbali za mchujo kabla ya kufika hatua za juu zaidi. Muundo wa mashindano umegawanywa katika sehemu kuu zifuatazo:

  1. Raundi za Awali: Vilabu kutoka nchi zenye nafasi za chini zaidi kwenye orodha ya CAF vitaanza na raundi hizi
  2. Raundi za Uhakiki: Vilabu vilivyoshinda katika raundi za awali vitakutana na vilabu vyenye nafasi za juu zaidi
  3. Hatua za Makundi: Vilabu 16 bora vitaingia kwenye makundi manne ya vilabu vinne-vinne
  4. Robo Fainali: Vilabu viwili bora kutoka kila kundi vitaingia hatua hii
  5. Nusu Fainali: Washindi wa robo fainali watapambana kwa tiketi za fainali
  6. Fainali: Mchezo wa mwisho kuamua mshindi wa taji

Hitimisho

Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 linatarajiwa kuwa moja ya mashindano yenye ushindani mkali zaidi katika historia ya soka la Afrika. Mashabiki wanatarajia kuona mchezo wa hali ya juu, magoli mengi, na nyota mpya za soka zikizaliwa. Kwa wachezaji na vilabu, hili ni fursa ya kuonyesha vipaji vyao na kujipatia sifa na tuzo muhimu katika soka la Afrika.

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

2. Kundi la Simba Sc Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

3. Kundi la Yanga SC Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

4. Makundi ya Klabu Bingwa Africa Msimu wa 2024/2025

5. Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.

Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku

BONYEZA HAPA

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!