Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 (Caf Confederation Cup Groups)
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU
Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025, Habari mwanasoka wa Habarika24, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukuonyesha makundi 4 ya kombe la shirikisho barani Afrika. Makundi haya yamepangwa baada ya matokeo ya Droo iliyofanywa na shirikisho la soka barani Afrika.
Mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 yanaendelea kuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa soka barani Afrika. Timu 24 bora zaidi kutoka kote barani zimegawanywa katika makundi sita, kila kundi likiwa na timu nne, zikishindana kwa nafasi ya kuingia hatua ya fainali za mchujo.
Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
Timu Zinazoshiriki Katika Hatua Ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika
Kunajumla ya timu 16 kutoka mataifa mbali mbali barani Afrika zilizo fuvu katika hatua ya makundi katika kombe la shirikisho barani Afrik msimu huu wa 2024/2025, klabu kutoka Tanzania,Tunisia,Algeria, Angola, South Afrika, Morocco,Senegal, Ivory Coast, Botswana,Egpt, Nigeria na Botswana.
Simba Sc ndio timu pekee inayoshiriki michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika mshimu wa 2024/2025 ikitokea Tanzania huku wapinzani wao Yanga SC yenyewe ikishiriki moja kwa moja michuano ya klabu Bingwa Afrika msimu wa 2024/2025
Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
Kundi A
- Simba SC (Tanzania)
- CS Sfaxien (Tunisia)
- CS Constantine (Algeria)
- FC Bravos do Maquis (Angola)
Kundi B
- RS Berkane (Morocco)
- Stade Malien (Mali)
- Stellenbosch FC (South Africa)
- CD Lunda-Sul (Angola)
Kundi C
- USM Alger (Algeria)
- ASEC Mimosas (Ivory Coast)
- ASC Jaraaf (Senegal)
- Orapa United (Botswana)
Kundi D
- Zamalek SC (Egypt)
- Al Masry SC (Egypt)
- Enyimba FC (Nigeria)
- A. Black Bulls (Mozambique)

Hitimisho
Mashindano ya mwaka huu yanatarajiwa kuwa na ushindani mkali na yenye kusisimua. Kila timu ina nafasi ya kufanya vizuri, na historia inatuonyesha kwamba katika AFCON, mshtuko unaweza kutokea wakati wowote. Mashabiki wanatarajia kuona mpira wa kisasa, magoli ya kuvutia, na nyota mpya wakijitokeza kwenye jukwaa la Afrika.
Tunapoendelea kusubiri kickoff ya mashindano haya makubwa, ni dhahiri kwamba Afrika inaendelea kukua katika mchezo wa mpira wa miguu, na AFCON 2024/2025 itakuwa ni fursa nyingine ya kuonyesha vipaji na uwezo wa bara hili katika mchezo huu unaopendelewa na wengi duniani.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
2. Ratiba ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
3. Kundi la Yanga SC Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
4. Makundi ya Klabu Bingwa Africa Msimu wa 2024/2025
5. Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira kupitia N Card
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku