Kikosi cha Yanga vs Al-Hilal leo Ijuma 06/12/2024 Klabu Bingwa Afrika
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU
Kikosi cha Yanga vs Al-Hilal leo Ijuma 06/12/2024 Klabu Bingwa Afrika, Habari mwanasoka wa Habarika24, katika mala hii tutaenda kuangazia kikosi cha klabu ya Yanga dhidi ya klabu ya Al-Hilal Omudurman kitakachoenda kucheza leo katika ligi ya Mabingwa barani Afrika.
Kundi la Yanga Klabu Bingwa Afrika
Baada ya kuchezeshwa kwa droo ya kupanga makundi katika michuano ya klabu bingwa Afrika (CAF Champions Leagure ) klabu ya yanga iliweza kuwekwa katika kundi A lenye timu nne ambazo ni.
- TP Mazembe (DR Congo)
- Yanga (Tanzania)
- Al Hilal SC (Sudan)
- MC Alger (Algeria)
Leo Yanga ana cheza na na klabu ya Al-Hilal Omdurman ya kutokea Sudani katika hatua ya makundi, huu ndio mchezo wa kwanza kabisa kwa blabu ya Yanga katika kusaka tiketi ya kufuzu kwenda robo fainali ya Michuano ya klabu bingwa barani Afrika.
Kikosi cha Yanga vs Al-Hilal leo Ijuma 06/12/2024 Klabu Bingwa Afrika
Hapa chini ni kikosi cha wachezaji wa Yanga wanao tarajia kucheza katika mchezo huu wa hatua ya makundi dhidi ya klabu ya Al-Hilal Omdurman ya huko Sudan
- Djigui Diarra
- Abutwalib Mshery
- Nickson Kibabage
- Kouassi Yao
- Farid Mussa
- Dickson Job
- Bakari Mwamnyeto
- Ibrahim Abdallah
- Max Nzengeli
- Khalid Aucho
- Pacome Zouzoua
- Stephen Aziz Ki
- Mudathir Yahya
- Salum Abubakar
- Clement Mzize
- Clatous Chama
- Prince Dube
- Chadrack Boka
- Khomeiny Aboubakar
- Aziz Andabwile
- Duke Abuya
- Kennedy Musonda
- Jean Othos Baleke
Hapo juu ni orodha ya wachezaji 23 ambao ndio wanaunda kikosi cha klabu ya Yanga katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika na miongoni mwa wachezaji hapo juu ndio wanaotarajia kuanza katika kikosi dhidi ya klabu ya Al-Hilal Omdurman leo Ijuma 06/12/2024 katika mchezo wa hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika.
Kikosi kamili kitakacho anza tutakitoa hapa mara baada ya kutangazwa rasmi.
Mtarajio ya Mchezo
Mchezo utakua wa upinzani sana kwani kila timu inatarajia kupata ushindi wa mapema. Yanga atakua nyumbani kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ni matarajio makubwa kwa mashabiki wa Yanga na taifa la Tanzania kwa klabu yao kushinda mchezo huu
Hitimisho
Kama wewe shabiki wa Yanga embu tuambie ungepewa nafasi ya kuunda kikosi cha Yanga kitakacho cheza na Al-Hilal Omdurman leo Ijuma 06/12/2024 katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika hatua hii ya makundi ungeweka wachezaji gani?. Embu tumia uwanja wa komenti hapo chini kupanda first eleven yako.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
2. Ratiba ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
3. Kundi la Yanga SC Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
4. Makundi ya Klabu Bingwa Africa Msimu wa 2024/2025
5. Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira kupitia N Card
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku