Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele anawatangazia Watanzania wenye
sifa kuomba nafasi za kazi sita (06) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mlele
Bonyeza Hapa Kudownload PDF ya Tangazo
