Chuo cha Ualimu cha Waama Lutheran
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo cha Ualimu cha Waama Lutheran, Habari ya muda huu mwana Habarika24, kaeibu katika makala hii fupi amabayo itaenda kutoa maelezo juu ya kozi na sifa za kujiunga na chuo cha ualimu cha Waama Lutheran.
Kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na chuo cha ualimu cha Waama Lutheran basi ni lazima kusoma makala hii kwani inamaelekezo ya kina juu ya kozi na sifa za kujiunga na chuo hiki cha uwalimu cha Waama Lutheran.
Chuo cha Ualimu cha Waama Lutheran
Kozi zitolewazo na Chuo cha Ualimu cha Waam Lutheran
Huo kinakozi mbali mbali ambazo lengo kuu ni kuwaandaa walimu kwa ujuzi na maarifa ya kua walimu bora pale wanapokua wamehitimu mafunzo yao ya ualimu.
Hapa tunaenda kuangazia kozi zinazotolewa zinazotolewa na chuo cha Ualimu ch Waam Lutheran. Chuo cha ualimu cha Waam Lutneran kinatoa kozi za uwalimu kwa ngazi ya cheti na Diploma.
Kozi cha Cheti Zinazotolewa na Chuo cha Ulimu Cha Waam Lutheran
Hapa tutaangazia kozi zinazotolewa katika ngazi ya cheti na chuo hiki cha Ualimu cha Waam Lutheran
- Cheti cha Msingi cha Ufundi katika Elimu ya Msingi katika ngazi ya NTA level 4
- Cheti cha Ufundi katika Elimu ya Msingi (In-Service) katika ngazi ya NTA Level 5
Kozi cha Diploma Zinazotolewa na Chuo cha Ulimu Cha Waam Lutheran
- Diploma ya Kawaida ya Elimu ya Msingi (Pre-Service) ngazi ya NTA Level 6
- Diploma ya Kawaida ya Elimu ya Msingi (In-Service) ngazi ya Level 6
Jinsi ya Kutuma Maombi ya Kujiunga na Chuo cha Ualimu Cha Waam Lutheran
Hapa tuaenda kujadili juu ya jinsi ya kujiunga na chuo cha ualimu cha Waam Lutheran. Ili kujiunga na chuo hiki cha ualimu mwanafunzi anatakiwa kupitia baadhi ya hatua kama vile;
Kujaza Fomu ya Maombi
Kuomba kujiunga na chuo cha ualimu cha Waam Lutherani mwanafunzi anapaswa kutuma maombi mtandaoni au kwa kujaza fomu ya maombi kwa kuichukua kutoka katika ofisi za chuo hicho
Jinsi ya Kutuma Maombi kwa Njia ya Mtandao
Ili kujtuma maombi ya kujiunga na chuo cha ualimu cha Waam Lutheran mwanafunzi anapaswa kuingia katika mfumo wa maombi mtandaoni kisha kujaza d=fomu ya maombi kwa kufuata maelekezo hasa juu ya kozi anayotaka kuisoma.
Vigezo vya Kujiunga na kozi mbali mbali katika chuo cha Ualimu cha Waam Lutheran
- Mwombaji awe na alama C katika masomo ya O level
- Pia mwombaji awe na ufaulu wa angalau alama mbili katika masomo ya A Level
Kwa maelekezo zaidi unaweza walisiana na uongozi wa chuo kwa mawasiliano yafuatayo;
- Simu: 0629392300
- Anwani: P. O. BOX 72 MBULU
- Tovuti: http://www.waama.tz.ac
Hitimisho
Kama ni ndoto yako kua mwalimu basi chuo cha Ualimu cha Waam Lutheran kinaweza kua miongoni mwa machaguzi yako kwani kinatoa kozi zenye ujuzi wa kina katika kumuandaa wanafunzi kua mwalimu bora.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Morogoro
2. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Tabora
3. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha ADEM Bagamoyo
4. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Arusha
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku