Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Makala»Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Morogoro 2025/2026
Makala

Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Morogoro 2025/2026

Kisiwa24By Kisiwa24May 2, 2025No Comments6 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Morogoro

Tangazo

Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga

BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU

Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Morogoro (ARIMO), Habari ya muda huu mwana Habarika24, karibu tena katika makala hii ambayo itaenda kukupa maelezo ya kina juu ya Ada, Fomu, Kozi na sifa za kujiunga na chuo cha Aridhi Morogoro. Kama unahitaji kujiunga na chuo cha Aridhi Morogoro basi fahamu ya kua makala hii itakua na umuhimu mkubwa sana kwako.

Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Morogoro

Kuhusu Chuo Cha Aridhi Morogoro

Chuo cha Ardhi Morogoro kilianza mwanzoni mwa 1958 kilipoanza kama Kituo cha Mafunzo ya Upimaji kwa madhumuni ya kutoa mafunzo kwa mafundi wa upimaji ardhi kwa muda wa miezi sita kwa kila ulaji. Wakati huo, kituo kilipo eneo la Mgulani, Dar es Salaam. Mnamo 1966, kozi hiyo ilibadilishwa kuwa nadharia ya mwaka mmoja na mwaka mmoja katika mafunzo ya viwandani. Sifa ya kuingia ilikuwa kidato cha nne. Muundo upya ulibadilisha eneo kutoka Mgulani hadi eneo la Observation Hill/Makongo ambapo Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) kipo kwa sasa.

Kufuatia ripoti ya McKinsey ya mwaka 1972 ambayo ilibainisha pamoja na mambo mengine kuwa makada wa Wizara ya Ardhi hasa katika mikoa walikuwa chini ya nguvu, na wafanyakazi duni; na kufuatia kutangazwa kwa sera za ugatuaji na uanzishaji wa vijiji vya kudumu katika maeneo ya vijijini, ikabidi kuanzishwa kwa programu ya mafunzo ambayo yangezalisha watumishi wa kitaalamu ambao wangehudumu katika maeneo mbalimbali ya uendelezaji wa ardhi halisi.

Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Morogoro

Kozi Zinazotolewa na Chuo Cha Aridhi Morogoro

Chuo cha Aridhi morogoro kinatoa kozi mbali mbali katika ngazi ya Cheti na Diploma, hapa tutaenda kukuonyesha kozi zote zinazotolewa na chuo hiki katika ngazi zote za kielimu;

Kozi za Cheti Zitolewazo na Chuo cha Aridhi Morogoro

ARIMO inatoa kozi 2 tu katika ngazi ya cheti ambayo ni;

  1. Cheti cha Msingi cha Geomatics
  2. Cheti cha Msingi cha Mipango Miji

Kozi za Diploma Zitolewazo na Chuo cha Aridhi Morogoro

ARIMO inatoa kozi 3 tu katika ngazi ya diploma ambayo ni;

  1. Diploma ya Geomatics (NTA Level 5-6)
  2. Diploma ya Mifumo ya Taarifa za Kijiografia (GIS) (NTA Level 5-6)
  3. Diploma ya Mipango Miji na Kikanda (NTA Level 5-6)

Ada za Chuo cha Aridhi Morogoro katika Kozi Mbali Mbali

Ada za kozi zitolewazo na chuo cha Aridhi Morogoro zinatofautiana kutokana na ngazi ya kozi husika, hapa tutaenda kuangazia ada kwa kozi za ngazi zote ngazi ya cheti na ngazi ya Diploma;

Ada za Kozi za Ngazi ya Cheti katika Chuo cha Aridhi Morogoro

  • Cheti cha Msingi cha Geomatics ada yake ni Tsh 800,000 kwa mwaka
  • Cheti cha Msingi cha Mipango Miji ada yake ni Tsh 700,000 kwa mwaka

Ada za Kozi za Ngazi ya Diploma katika Chuo cha Aridhi Morogoro

  • Diploma ya Geomatics ada yake ni Tsh 1,200,000 kwa mwaka
  • Diploma ya Mipango Miji ada ya ni Tsh 1,000,000 kwa mwaka

Fomu ya Kujiunga Na Chuo Cha Aridhi Morogoro

Fomu za kuweza kujiunga na chuo cha Aridhi Morogoro zinapatikana moja kwa moja kwenye tovuti ya chuo. Ili kutuma maombi ya kujiunga na chuo cha Aridhi Morogoro tafadhari futa hatua zifuatazo

1. Kwanza Pata Fomu ya Maombi

Fomu ya maombi ya kujiunga na chua utaipata kwa kuingia kwenye tovuti ya chuo kisha pakua fomu ya maombi

2. Jaza Fomu Ya Maombi

Baada ya kupakua fomu utajaza fomu hoyo kulingana na taarifa zinazohitajiika na kozi unayotaka kusoma

3. Lipa Ada ya maombi

Baada ya kukamilisha kujaza fomu utatakiwa kulipia kiasi cha Tsh 20,000 kupitia account ya bank ya NMB akaunti namba 2211100065

4. Tuma Fomu ya Maombi 

baada ya kufanya malipo sasa unaweza kuituma fomu ya maombi ikiambatanishwa na risiti ya malipo ya ada ya fomu

Anuani ya Kutuma fomu ya maombi ni

  • Principal,
  • Ardhi Institute Morogoro,
  • P. O. Box 155,
  • Morogoro, Tanzania.

Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Aridhi Morogoro

Kuna sifa na vigezo tofuti tofauti katika kujiunga na kozi zitolewazo na chuo cha Aridhi Morogoro, hapa chini ni  sifa za kujiunga na kozi kulingana na ngazi ya kozi husika;

Sifa ya Kujiunga na kozi ya Cheti cha Msingi cha Geomatics

  • Awe amehitimu Kidato cha Nne (CSEE) na alama ya angalau “D” katika Hisabati, Fizikia, Jiografia, na Kiingereza.

Sifa za Kujiunga na Kozi ya Cheti cha Msingi cha Mipango Miji

  • Awe amehitimu Kidato cha Nne (CSEE) na alama ya angalau “D” katika Hisabati, Fizikia, Jiografia, na Kiingereza.

Sifa za Kujiunga na Kozi ya Diploma ya Geomatics (NTA Level 5-6)

  • Awe na Cheti cha Kidato cha Sita (ACSSE) na alama ya angalau “Principal” katika Hisabati au Fizikia.
  • Awe na Cheti cha Upimaji Ardhi au sawa na hicho kutoka taasisi inayotambulika.

Sifa za Kujiunga na Kozi ya Diploma ya Mifumo ya Taarifa za Kijiografia (GIS) (NTA Level 5-6)

  • Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Sita (ACSSE) na alama ya angalau “Principal” katika Hisabati au Fizikia.
  • Mwombaji inabidi awe na Cheti cha Upimaji Ardhi au sawa na hicho kutoka taasisi inayotambulika.

Sifa za Kujiunga na Kozi ya Diploma ya Mipango Miji na Kikanda (NTA Level 5-6)

  • Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Sita (ACSSE) na alama ya angalau “Principal” na “Subsidiary” katika masomo ya Sayansi.
  • Mwombaji awe na Cheti cha Mipango Miji au sawa na hicho kutoka taasisi inayotambulika.

Hitimisho

Chuo cha Aridhi Morogoro ni miongoni mwa vyuo bora nchini kwakuwapa fursa vijana wanaohitaji kujiendeleza kielimu kakitika kozi mbali mbali za ngazi ya cheti na diploma. Unapotaka kujiunga na chuo hiki basi hakikisha unakidhi vigezo kwa kozi unayotaka kuomba. Mchakato wa maombi unafanywa kwa kupakua fomu ya maombi kutoka kwenye tovuti ya chuo, kisha kuijaza na kulipia ada ya maombi na kuituma kwa kutumia anuani ya chuo.

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Dar es Salaam

2. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Temeke

3. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Mwanza

4. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Arusha

Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.

Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku

BONYEZA HAPA

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleSample Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la JWTZ 2025
Next Article PDF ya Majina Walioitwa Kwenye Mafunzo Ya Jeshi La Zimamoto Na Uokoaji MAY 2025
Kisiwa24

Related Posts

Makala

Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker

October 9, 2025
Makala

Jinsi ya Kuwasha Rice Cooker

October 9, 2025
Makala

Jinsi ya kupika Maharage kwenye Rice cooker

October 8, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025783 Views

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 2025548 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025445 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.