Mshahara Wa Mwalimu Wa Diploma Ya Sekondari
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Mshahara Wa Mwalimu Wa Diploma Ya Sekondari, Habari ya wakati huu mwana Habarika24, karibu karibu katika hii fupi tutakayoenda kuangazia mishahara ya walimu wa Diploma (Astashahada) kwa shule za sekondari za serikali.
Kama wewe ni mwalimu wa ngazi ya Diploma unaetaka kuajiriwa au umeajiriwa na serikali basi ni vyema ukajua kiwango cha mshahara unachotakiwa kilipwa kutokana na kiwango chako cha elimu.
Viwango vya Mshahara kwa Mwalimu Wa Diploma
Mshahara wa mwalimu wa diploma unaweza kutofautiana kutoka mwalimu mmoja kwenda mwalimu mwingine kutokana na sababu mbali mbali kama vile
- Ngazi ya Mshahara wa mwalimu
- Muda wa Utumishi
- Ufanisi wa Mwalimu katika kazi
- Mazingira ya ufanyaji kazi

Mshahara Wa Mwalimu Wa Diploma Ya Sekondari
Hapa chini tuanenda kutazama mishahara ya walimu wa sekondari za serikali kwa kuzingatia viwango vya mishahara (TGTS)
Ngazi ya Mshahara Mshahara wa Mwanzo (Tsh) Nyongeza ya Mwaka (Tsh)
TGTS C1
Mshahara wa Kuanzia ni Tsh. 530,000
Nyengeza ni Tsh 10,600
TGTS C2
Mshahara wa Kuanzia ni Tsh 603,000
Nyongeza ni Tsh 13,000
TGTS C3
Mshahara wa kuanzia ni Tsh 616,000
Nyongeza ni Tsh 13,000
TGTS C4
Mshahara wa kuanzia Tsh 629,000
Nyongeza ni Tsh 13,000
TGTS C5
Mshahara wa Kuanzia Tsh 642,000
Nyongeza ya mshahara 13,000
TGTS C6
Mshahara wa kuanzia ni Tsh 655,000
Nyongeza ni Tsh 13,000
TGTS D1
Mshahara wa kuanzia ni Tsh 716,000
Nyongeza ni Tsh 17,000
Vitu vya ziada wanavyopatiwa Walimu wa Diploma
Nje ya mshahara wa msingi walimu wa ngazi ya dipoloma serikalini hupatiwa mahitaji ya ziada kama vile
- Nyumba ya kuishi
- Fedha za safari
- Nyongeza ya pesa kwa mazingira magumu
Hitimisho
Hivyo basi ukiachilia mbali mshahara halisi wa kuanzia kwa mwalimu wa ngazi ya diploma (Astashahada) pia pesa za ziada anazo patiwa kwa nyumba, usafiri na mazingira magumu ya kikazi uki unganisha na nyongeza inayofanyika kila mwaka huleta mabadiliko ya mshahara wa kuanzia wa mwalimu.
Hata hivyo pia muda wa utumishi wa mwalimu wa diploma huchangia kwa kiasi kikubwa sana badiliko la mshahara wa mwalimu wa diploma kulingana na ngazi ya mshahara alionao mwalimu husika.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Dar es Salaam
3. Bei ya iPhone 16 Pro Max Tanzania 2024
4. Bei ya iPhone 16 ProTanzania 2024
5. Viwango Vipya Vya Mishahara ya Walimu Serikalini
6. EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania 2024
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku