Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza EPL 2024/2025
Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza EPL 2024/2025, EPL standing 2024/2025, msimamo wa EPL 2024/2025, Habari ya wakati huu mwana soka wa Habarika24, karibu katika makala hii ambayo itaenda kukuonyesha msimamo wa ligikuu ya Uingereza almaarufu kama Epl ( English Premier Leuge standing) kwa msimu wa 2024/2025.
Kama wewe ni mfuatiliaji wa mpira wa miguu na shabiki wa ligi kuu ya uingereza basi katika makala hii utaweza kuona msimamo mzima wa ligi unavyokwenda nani anaongoza ligi na timu gani zipo kwenye nafasi ya tatu bora pia timu zipi zipo katika nafasi tatu za mwisho
Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza (EPL Standing) 2024/2025
Rank | Club | MP | GD | Pts |
1 | Liverpool | 33 | 44 | 79 |
2 | Arsenal | 34 | 34 | 67 |
3 | Man City | 34 | 23 | 61 |
4 | Nottm Forest | 33 | 14 | 60 |
5 | Newcastle | 33 | 18 | 59 |
6 | Chelsea | 33 | 18 | 57 |
7 | Aston Villa | 34 | 5 | 57 |
8 | Bournemouth | 33 | 12 | 49 |
9 | Fulham | 33 | 3 | 48 |
10 | Brighton | 33 | 0 | 48 |
11 | Brentford | 33 | 6 | 46 |
12 | Crystal Palace | 34 | -4 | 45 |
13 | Everton | 33 | -6 | 38 |
14 | Man United | 33 | -8 | 38 |
15 | Wolves | 33 | -13 | 38 |
16 | Tottenham | 33 | 10 | 37 |
17 | West Ham | 33 | -18 | 36 |
18 | Ipswich Town | 33 | -38 | 21 |
19 | Leicester City | 33 | -46 | 18 |
20 | Southampton | 33 | -54 | 11 |
Kufuzu na Kushuka Daraja
- Timu zitakazo maliza ligi katika nafasi ya 1 hadi ya 4 zitafuzu kwenda kucheza katika michuano ya ligi ya mabingwa ulaya (UEFA Champion League) msimu ujao.
- Kwa timu itakay maliza katika nafasi ya 5 itaenda kushiriki michua no ya ligi ya Europa katika hatua ya makundi
- Na timu zitakazo maliza ligi katika nafasi ya 18 hadi 20 zitashuka daraja.
Kuhusu Ligi kuu ya Uingereza ( Epl)
English Premier League (EPL) ilianzishwa mwaka 1992, na tangu wakati huo imekuwa ikionyesha kiwango cha juu cha soka na ushindani mkubwa. EPL imekuwa ikiwavutia wachezaji bora zaidi kutoka sehemu mbalimbali za dunia, na kufanya ligi hii kuwa kitovu cha soka la kimataifa. Vilabu kama Manchester United, Chelsea, Liverpool, na Arsenal vimejijengea umaarufu mkubwa kwa kutwaa mataji mengi na kushiriki mashindano ya kimataifa kama UEFA Champions League.
Timu Zinazoshiriki Ligi Kuu Ya Uingereza (Epl)
Kwenye ligi kuu ya Uingereza kunajula ya klabu 20, ambazo ni
- Liverpool
- Man City
- Nottm Forest
- Brighton
- Chelsea
- Arsenal
- Fulham
- Aston Villa
- Tottenham
- Brentford
- Bournemouth
- Newcastle
- Man United
- West Ham
- Leicester City
- Everton
- Crystal Palace
- Wolves
- Ipswich Town
- Southampton
Bingwa wa Msimu Uliopita
Msimu wa 2023/2024 wa EPL ulikuwa wa kuvutia sana, huku Manchester City ikiibuka kama mabingwa wa ligi hiyo. Kikosi cha Pep Guardiola kiliendelea kuonyesha ubora wake, kikiweza kumaliza msimu na pointi nyingi zaidi kuliko wapinzani wao wakuu kama Arsenal na Liverpool. Ushindi huu uliifanya Manchester City kuwa mabingwa mara ya nne katika misimu mitano iliyopita, ikithibitisha utawala wao katika soka la Uingereza.
Kuhusu Msimamo wa 2024/2025
Msimamo huu wa ligi kuu ya Epl umeanza kwa ushindani mkubwa sana kwani timu nyingi zinazoshuriki katika michuano hii zimefanya usajiri wa wachezaji bora na wenye kujituma, hadi sasa tunao bingwa mtetezi Machester City anaongoza ligi huku akifuatiwa na Arsenal. Tunatumaini ligi ya Epl kwa msimu wa 2024/2025 itakua na burudani ya kutosha kupita hata ile ya msimu uliota.
Hitimisho
Kwa Msimao wa Ligi kuu ya Uingereza (Epl) hapo juu embu acha komenti yako kwenye kisanduku cha kuweka komenti juu ya timu yako nafasi yake na unatarajia nini kwa timu yako katika msimamo wa ligi kuu ya england itamaliza ligi ya Epl ikiwa katika nafasi ya ngapi.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbali Mbali Duniani
2. Ratiba Ya Ligi Kuu England 2024/2025 EPL
3. Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025
4. Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu
5. Ratiba Ya Mechi Zote Za Yanga Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025