Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Njombe
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Njombe, Mabasi ya Dar to Njombe, Karibu tena mwana Habarika24, katika makala hii fupi tuitaenda kukuangazia juu ya kampuni za mabasi zinazo fanya safari zake katika mikoa ya Dar es Salaam na Njombe.
Kama wewe ni miongoni mwa wasafiri wanaotarajia kufanya safari zao kati ya mkoa wa Dar na Njombe na bado hujafahamu ni kampuni gani za mabasi amabzo hutoa huduma ya usafiri katika mikoa hiyo miwili baasi amini ya kua makala hii itakua ya muhimu sana kwako, Chakufanya hakikisha unaisoma hadi mwisho.
Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Njombe
Njia za Usafiri kati ya mkoa wa Dar es Salaam na Njombe
Ili kuweza kusafiri baina ya mikoa hii miwili msafiri hana budi kutumia moja kati ya njia hizi hapa chini za usafiri;
- Usafiri wa Aridhini -Gari
- Usafiri wa Angani – Ndege
Hapa katika makala hya tutaenda kujikita zaidi katika usafiri wa aridhini hasa kwa kuangalia makampuni ya mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Njombe
Aina ya Mabasi Yanayofanya Safari zake kati ya Dar na Njombe
Kama ilivyo kwa mikoa mingine pia usafiri wa mabai katika nia hii ya Dar njombe umefanya kuwepo kwa aina kuu tatu za mabasi yanayofanya asafri katika mikoa hii;
- Mabasi ya Daraja la kwanza (Luxury na VIP)
- Mabasi ya Daraja la Kati (Semi Luxury )
- Mabasi ya Daraja la kawaida (Ordinary class)
Utofauti wa kimadaraja umeletwa na hadhi za mabasi, ubora na huduma zinazotolewa wakati mabasi hayo yanapokua safarini. Madaraja haya pia yamepelekea hata kuwepo kwa gharama tofauti tofauti miongoni mwa mabasi kulingana na madaraja yake. Mfano mauli zinazotozwa na mabasi ya daraja la juu ni kubwa kuliko zile zinazotozwa kwenye mabasi ya daraja la kawaida.
Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Njombe
Hapa chini tunaenda kukutajia kampuni kadhaa za mabasi zinazofanya safari zake kati ya mkoa wa Dar es Salaam na Njombe
1. Shelmith Line

2. Abc Upper Class

3. Njombe express

4. Super feo express

5. New force

6. Luwinzo Express

7. Nyagawa safari

Huduma Zinazotolewa Kwenye Mabsi ya Dar kwenda Njombe
Mabasi haya hutoa huduma tofauti tofauti pindi yawapo safarini hasa kwa mabsi ya daraja la juu na yale ya daraja la kati. Hapa chini tumekuwekea baadhi ya huduma unazoweza kuzipata pindi unaposafiri na mabasi ya Luxury na semi luxury iwe kutoka Dar kwenda Njombe au Njombe kwenda Dar es Salaam.
- Huduma ya kuchaji simu kwa kutumia USB
- Huduma ya kutazama TV uwapo safarini
- Huduma ya Vinywaji na VItafunwa
- Huduma ya Choo kwa baadhi ya mabasi
Hitimisho
Hivyo basi kama ulikua ukitaka kusafiri iwe ukitokea Dar es Salaam kwenda Njombe au Njombe Kwenda Dar na hukua ukifahamu haswa ni kampuni gani za mabasi ambazo hufanya safari zake katika mikoa hii basi natumaini ya kua makala hii ya mabasi ya Dar es Salaam kwenda Njombe itakua imekupa mwangaza wa kutosha.
Kumbuka, madaraja ya mabasi kutokana na hadhi na huduma zitolewazo na mabasi hupelekea utofauti wa kinauli kutoka basi moja kwenda nyingine. nauli ya mabasi ya daraja la juu ni kubwa ukilinganisha na nauli inyotozwa kwa mabasi yaliyopo katika kiwango cha daraja la kawaida.
Kama kunakampuni ya mabasi tumeweza kuisahau hapo juu na unaifahamu inafanya safari zake kati ya mkoa wa Dar es Salaam na Njombe basi usisite kuweza kutaja kupitia sehemu ya komenti hapo chini ili kuweza kupanua wigo wa abiria katika machaguzi ya basi gani aweze kulitumia katika safari yake.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Mabasi Ya Dar es Salaam Kwenda Songea
2. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha
3. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Mwanza
4. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Tabora
5. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Bukoba
6. Mabasi ya Dar Kwenda Mtwara
7. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Tanga
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku