Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Bukoba
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Mabasi ya Dar es Salaam Bukoba, Mabasi ya dar kwenda Bukoba, Ndugu mwana Habarika24 karibu tena kwa wakati mwingine katika makala hii fupi itakayoenda kukuangazia juu ya makampuni ya mabasi ambayo hufanya safari zake kati ya mkoa wa Dar es Salaam na Bukoba.
Kama unatarajia kusafiri baina ya mikoa hii miwili iwe kutoka Dar kwenda Bukoba au Bukoba kwenda Dar na bado hujajua ni kampuni gani za Mabasi zinazotoa huduma ya usafiri basi makala hii ni ya muhimu sana kwa upande wako kwani kwa ufupi zaidi itaenda kukupa mwangaza wa mabasi yanayofanya safari zake kati ya Dar Bukoba na Bukoba kwenda Dar es Salaam.
Bukoba ni mji wenye wakazi 144,938 (sensa ya 2022), ulioko kaskazini-magharibi mwa Tanzania kwenye mwambao wa kusini-magharibi wa Ziwa Victoria. Ni makao makuu ya mkoa wa Kagera, na kiti cha utawala cha Wilaya ya Bukoba Mjini.
Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Bukoba
Njia za Usafiri Kati ya Dar es Salaam Na Bukoba
Kama unatokea Dar na unataka kwenda Bukoba au unatokea Bukoba na unataka kwenda Dar basi unaweza tumia aina mbili ya njia za usafiri ambazo ni pamaoja na;
- Usafiri wa Aridhini – Gari
- Usafir wa Angani – Ndege
Ili uweze kufika bukoba ukitokea mkoa wa Dar es Salaam au ufike Dar es Salaam ukitikea mkoa wa Bukoba basi njia hizo hapo juu za kiusafiri lazima zihusishwe na sisi kama habarika24 katika makala hii fupi tutaenda kugusia njia ya usafiri ya aridhini hasa tukijikita katika makampuni ya mabasi yanayotoa huduma ya usafiri wa basi baina ya mikoa hiyo
Ukizungumzia mkoa wa Dar es Salaam hadi Bukoba unazungumzia urefu wa kilomita zaidi ya 1,432. Kwa usafiri wa basi, abiria ua wasafri watahitaji kusafiri wakiwa kwa muda usio pungua takribani masaa 20 au zaidi.
Aina za Mabasi Ya Dar es Salaam Kwenda Bukoba
Kuna aina tatu za basi yanayofanya safari zake kutokea mkoa wa Dar es Salaam kwenda mkoa wa Bukoba na Bukoba to Dar es Salaam, Aina hizo ni pamoja na;
- Mabasi ya Daraja la Kawaida (Ordinaly Class)
- Mabasi ya Daraja la Kati (Semi Luxury Buses)
- Mabasi ya Daraja la Juu (Luxury and VIP Buses)
Mabasi haya yanatofautiana kwenye vitu vingi sana ikiwemo huduma zinazotolewa yawapo safarini na hata gharama za nauli zake.
Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Bukoba
Hapa tunaenda kuangalia aina za kampuni ya mabasi yanayofanya safari zake kati ya mkoa wa Dar es Salaam na mkoa wa Bukoba;
1. Happy Nation
2. Frester Road Ways co.ltd

3. Extra Luxury Coach

4. Katarama Luxury

5. City Boy Express

6. Osaka raha executive
Huduma zinazopatikana katika Mabasi ya Dar kwenda Bukoba
Kama tulivyokwisha sema hapo awali mabasi ya Dar es Salaam kwenda Bukoba yako ya aina tatu kulingana na madaraja ya mabasi yanii mabasi ya daraja la kawaida ( ordinary level bus), mabasi ya daraja la kati (Semi Luxury Buses) na mabasi ya daraja la juu (Luxury, VIP Buses)
Hivyo basi kutofautiana kwa aina za kimadaraja kutoka basi moja hadi jingine ndio kunapelekea hata utofauti wa huduma zitolewazo na maabasi hayo pindi yawapo safarini. Hapa tutaenda ongelea huduma zinazo patika kwenye mabasi ya daraja la kati na yale ya daraja la juu.
Miongoni mwa huduma zinazopatikana au kutolewa na mabasi haya ni pamoja na;
- Huduna ya vinywaji na vitafunwa
- Huduma ya Internet kwa njia ya Wifi
- Huduma ya kutazama Runinga
- Huduma ya Choo
- Kwa magari ya VIP huwa mengine yanahuduma ya kompyuta aiana ya notepad zilizofungwa nyuma ya siti
Hitimisho
Hivyo basi kama wewe ni msafiri naamini makala hii ya mabasi ya Dar es salaam kwenda Bukoba ilakua imekupa mwangaza juu ya kampuni zipi zinazo toa huduma ya usafiri wa mabasi ndani ya mikoa hiyo na aiana za ma basi na huduma zake, lakini kumbuka aina ya basi na huduma ndio upanga bei ya nauli kwa mabasi ya semi luxury na vip gharama za nauli ni kubwa ukilinganisha na mabasi ya ordinary class.
Kwa wale wanaopenda kusafiri kifahari na kwa starehe basi mabasi ya Semi luxury na VIP ndio chaguo lao la kwanza na kwa wale tunaojali tu safari bila kungalia mwonekano wa basi mabasi ya daraja la kawaida inaweza kua chaguo sahihi kwani hata gharama za nauli zake zipo chini ulinganisha na zile za Semi luxury buses na VIP buses.
Kama kutakua na kampuni nyingine ya mabasi ambayo unahisi kwa namna moja au nyingine tumelisahau inayofanya safari za kati ya mkoa wa Dar es Salaam na Bukoba basi unaweza kulitaja hapo chini kwenye ywanja wa meseji Asante.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Mabasi Ya Dar es Salaam Kwenda Songea
2. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha
3. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Mwanza
4. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Tabora
5. Nauli ya Boti Dar es Salaam Kwenda Zanzibar
6. Jinsi Ya Kuangalia usajili wa kampuni BRELA
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku