Njinsi ya Kuanzisha Kampuni Tanzania
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Jinsi ya kuanzisha Kampuni,Ili uweze kumiliki kampuni kwa nchini tanzania itakuhitaji uweze kupitia hatua kadha wa kadha ikiwemo usajili wa kampuni na usajili wa jina la kampuni unayotaka kuinzisha.
BRELA,ndio idala ya serikali yenye dhamana kisheria juu ya usajili wa biashara na leseni. Ili uwezee kuendesha kampuni lazima kwa mujibu wa shetia uweze kufuata taratibu na sheria za BRELA.
Kwenye makal hii tunaenda kukuonyesha hatua na taratibu za kisheria unazotakiwa kuzifuata ili uweze kuanzisha kampuni nchini Tanzania.

Njinsi ya Kuanzisha Kampuni Tanzania
Hatua za Kuanzisha Kampuni
Kwa mujibu wa idara ya usimamizi wa uasjili wa biashara na leseni hapa chini tumekuwekea hatu za muhimu za kufuata ili uweze kuanzisha kampuni;
Sajiri Akaunti ORS
Kabla ya yote baada ya kuwa na jina la kampuni unatakiwa kufungua akaunti katika mfumo wa ORS – Online legislation System ili kuanza usajili.
Maandalizi ya Vitu Muhimu
Mara baada ya kufungua akaunti katika mtandao wa ORS sasa kabla ya kuanza mchakato wa kutuma maombi inakubili ufanye maadalizi ya vitu muhimu vitakavyohitajika wakati wa mchakato mzima wa ufanyaji maombi.Miongoni mwa vitu hivyo ni pamoja na;
-
- Memorandum of Association,
- Articles of Association (Memarts), na
- Declaration of Compliance (Fomu 14b).
Hizo hapo juu ni nyaraka muhimu sana katika utumaji wa maombi ya umiliki wa kampuni, hivyo hakikisha nyaraka zote hapo juu zimesainiwa na wamiliki wa kampuni lakini pia zimepigwa muhuri na saini ya mwanasheria. Cha kuzingatia zaidi hakikisha una copy ya nakala tepe kwa kila nyalaka hapo juu kwani mfumo unaruhusu upakiaji wa nakala tepe tu.
Tuma Maombi ya Usajili
Baadaya kua na vitu vya msingi kama nakala tepe tulizozitaja hapo juu sasa ni wakati wa kutuma maombi yako hii itakufanya upitie hatua kadhhaa;
a) Ingia kwenye akaunti yako ya ORS na kisha ujaze taarifa za usajiri kwa kuhakikisha unajaza taarifa muhimu za kampuni yako ikiwemo jina la kampuni na anuani inapopatikana kampuni.
b) Baada ya kumaliza kujaza taarifa pia utapakia nakala tepe za nyaraka ulizizianda kwa kusoma maelekezo katika mfumo wa usajili
c) Mara baada ya kujaza taarifa zote na kupakia nakala za nyalaka utatuma maombi na mfumo utakutumia nakala ya bili ya maombi na utapaswa kuipa kulingana na maelekezo yaliyoko kwenye ujumbe wa malipo.
Malipo ya bili ya usajili wa kampuni yanaweza kufanya wa njia tofauti kama vile;
- Banki
- Simu
d) Baada ya Kukamilisha malipo mfumo wa BRELA utapitia maombi yako na kuleta majibu ya ombi lako kwa njia ya barua pepe ulioijaza wakati unafungua akaunti.
-Ujumbe utaonyesha hali ya ombi la usajili wa kampuni kama limefanikiwa au la, Kama halijafanikiwa pia ujumbe utatoa taarifa ya mapendekezo ya vitu vya kubadilisha na kisha utatuma tena ombi lako
e) Bada ya kukubaliwa kwa ombi lako BERLA Kupitia akaunti yako ya ORS itakutumia cheti cha usajili wa kampuni yako, Ambayo itakua na maelezo ya kuthibitisha umiliki na usajili halali wa kampuni yako. Ingia kenryr akaunti yako na upakue cheti chako cha usajili na kukiprinti kwa matumizi ya kibiashar.
Omba TIN namba na Leseni ya Biashara
Baada ya zoizi la kusaji kampuni kukamilika sasa ili kampuni yako iweze kufanya kazi kiuhalali itakupasa ufanye maombi ya TIN namba kupitia mamlaka ya mapato Tanzania – TRA, kama hufahamu jinsi ya kuomba TIN namba tafadhari bonyeza hapa
Hitimisho
Kama wewe ni mfanyabiashara na lengo lako kuu ni kumiliki kampuni yako basi tunakushauri uhakikishe unafuata hatua za kisheria katika umiliki wa kampuni yako kama vile usajili wa kampuni na jina la kampuni kupitia BRELA na kuamba TIN namba ya Biashara kupitia TRA hii itakusaidi kuendesha kampuni yako kwa uhuru pasipo kupitia changamoto zozote zile za kisheria.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Nauli ya Boti Dar es Salaam Kwenda Zanzibar
2. Vifurushi vya Starrtimes Na Bei Zake
3. Jinsi ya kubadilisha kifurushi cha Startimes
4. Vifurushi vya DSTV Na Bei Zake
5. JINSI ya Kupata TIN Number Online
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku