Nafasi za kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita Septemba 2024
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU
Kuhusu Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Wilaya ya Geita ni moja ya wilaya 5 zinazounda mkoa wa Geita. Ilipata hadhi ya kuwa wilaya mwaka 1962.Kipindi hicho iliitwa Geita province.Wilaya ya Geita ipo kati ya mita 1,100 hadi 1,300 kutoka usawa wa bahari.Pia ipo katika latitudi 208 hadi 3028 kusini mwa mstari wa ikweta na longitudi 32045 na 370 mashariki mwa mstari wa Greenwich.
Kabla ya Uhuru wa Tanzania bara (Tanganyika),wilaya ya Geita ilikuwa na ukubwa wa kilomita za mraba 16,638 ambapo nchi kavu ilikuwa ni kilomita za mraba 10,123.94 na maji ilikuwa ni kilomita za mraba 6,514.06. Katika kipindi hicho Geita ilikuwa na idadi ya watu wapatao 371,407. Mnamo mwaka 1975 wilaya ya Geita iligawanywa na kupata wilaya ya Sengerema.Baada ya kugawanywa kwa wilaya hizi mbili, Wilaya ya Geita ilibaki na kilometa za mraba 7,825 ambapo nchi kavu ni kilometa za mraba 6,775 na maji ni kilometa za mraba 1,050.
Kuimarisha uwezo wa Halmashuri katika kutoa huduma endelevu ili kuboresha maisha ya wananchi na kuondoa umaskini ifikapo mwaka 2025.
Dhamira:
Mnamo mwaka 2013 wilaya ya Geita iligawanywa tena na kupata wilaya ya Nyang’hwale.Wilaya ya Geita ina Halmashauri mbili ambazo ni “Halmashauri ya wilaya ya Geita na Halmashauri ya Mji”.Halmashuri ya Geita ina ukubwa wa kilomita za mraba 5,366.7(4,316 nchi kavu na 1,050 maji).
Dira:
Kutekeleza sera za kitaifa pamoja na miongozo inayoelekeza utawala bora na ushirikishwaji wa wananchi katika kufanya maamuzi katika hatua mbalimbali ili kujiletea maendeleo endelevu .

Nafasi za kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita Septemba 2024
MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 4 POST
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
ii. Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
v. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
vi. Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
vii.Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na
ix. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS.C
BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI YAKO
POST MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 2 POST
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
-Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
-Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
-Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)
-Kupokea majalada kwa Watendaji (action officers)
-Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji
-Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
-Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.
REMUNERATION TGS C
BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI YAKO
Mapendekezo ya Mhariri;
1.Tangazo la Kuitwa Kazini Bunge la Dododma 4-9-2024
2. Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Kada Za Afya Majina Ya Nyongeza
3. Nafasi Mpya 35 Za Kazi Taasisi ya Dar es Salaam Maritime (DMI)
4. Nafasi Mpya 32 za Kazi Kutoka Taasisi Ya Utafiti Wa Misitu Tanzania
5. Nafasi Mpya 15 Za Kazi Halimashauri Ya Manispaa Ya Tabora
6. Tangazo La Kuitwa Kwenye Usahili Kada Ya Afya Septemba 2024
7. Nafasi Mpya 318 za Kazi Kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku