Ratiba Ya Mechi Za Leo Ligi Kuu Ya NBC Tanzania Premier Jumamosi 24/08/2025
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Habari ya jumamosi ya leo mpenzi mfuatiliaji wa blog yako pendwa ya Habarika24, hapa katika chapisho hili tutaenda kuangazi michezo itakayochezwa leo jumamosi ya 24/08/2024 katika ligi kuu ya NBC Tanzania premier musimu wa 2024/2025.
Kama tujuavyo msimu huu mpya ulianza kutimua mbio zake mnano 16/08/2024 na hadi sasa tayari mzunguko wa kwanza umesha kamilika japo si kwa michezo yote. Na sasa tumeingia katika mzunguko wa pili na leo jumamosi kutakua na michezo miwili;

Ratiba Ya Mechi Za Leo Ligi Kuu Ya NBC Tanzania Premier Jumamosi 24/08/2025
Hapa chini tumekuweke michezo ya leo katika ligi kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2024/2025 mzunguko wa pili
Pamba Jiji vs Dodoma Jiji
Kiwanja; CCM Kirumba
Mkoa; Mwanza
Muda; 4:00 jioni
Kagera Sugar vs Singida BS
Kiwanja; Kaitaba Stadium
Mkoa; Kagera
Muda; 7:00 Usiku
Matokeo Ya Mechi Za Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025
August 23, 2024
0 – 0
Mashujaa FC vs Tanzania Prisons
August 18, 2024
3 – 0
Simba SC vs Tabora United
August 18, 2024
1 – 3
KenGold FC vs Singida BS
August 17, 2024
1 – 0
Mashujaa FC vs Dodoma Jiji