NAFASI 35 za Kazi Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) September 2025

NAFASI 35 za Kazi Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) September 2025

NAFASI 35 za Kazi Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) September 2025

Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) ilianzishwa rasmi chini ya Tangazo la Serikali Na. 453 la mwaka 2015 lililochapishwa na serikali tarehe 16 Oktoba, 2015 kama hospitali ya rufaa ya ngazi ya juu yenye lengo la kushughulikia mahitaji ya huduma za afya za kibingwa na za juu nchini Tanzania, zitakazotolewa kupitia upatikanaji wa vifaa vya kisasa vya uchunguzi, watumishi wenye ujuzi na tiba za kisasa.

Hospitali ina uwezo wa vitanda 400 na inahudumia wagonjwa wa kulazwa na wasiolazwa kutoka ndani na nje ya nchi. Kwa sasa, hospitali inatoa huduma mbalimbali za afya ikiwemo Tiba ya Dharura, Kitengo cha Wagonjwa Mahututi (ICU), Picha za kitabibu (Magnetic Resonance Imaging – MRI, Computerized Tomography Scan – CT Scan, Mammography, X-ray, Ultrasound, Angiography, Cath-lab), Huduma za Maabara, Huduma za Upasuaji na Huduma za Mionzi ya Tiba (Radiotherapy).

Kwa madhumuni ya kuboresha ufanisi wa utendaji, hospitali inatafuta Watanzania wachangamfu na wenye nguvu kujaza nafasi zifuatazo zilizowazi kwa masharti ya mkataba.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

error: Content is protected !!