VIINGILIO Simba SC vs Fountain Gate FC 25/9/2025 Ligi Kuu ya NBC

VIINGILIO Simba SC vs Fountain Gate FC 25/9/2025 Ligi Kuu ya NBC

VIINGILIO Simba SC vs Fountain Gate FC 25/9/2025 Ligi Kuu ya NBC

Mashabiki wa soka nchini wanatarajia burudani ya aina yake pale Simba SC itakapokutana na Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Hii ni moja ya mechi zinazovuta macho na masikio ya mashabiki kutokana na ushindani mkubwa wa ligi msimu huu.

Ratiba ya Mchezo

  • Tarehe: Alhamisi, 25 Septemba 2025

  • Uwanja: Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

  • Muda wa Kuanza: Saa 1:00 usiku (7:00 PM)

Mashabiki wanatarajiwa kuujaza uwanja kwa wingi wakisubiri kuona nani ataibuka na pointi muhimu katika pambano hili la kukata na shoka.

Viingilio vya Mchezo Simba SC vs Fountain Gate FC

Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka kwa waandaaji wa mchezo, viingilio vitakuwa kama ifuatavyo:

  • Mzunguko: Shilingi 5,000/=

  • VIP B: Shilingi 10,000/=

  • VIP A: Shilingi 20,000/=

Mashabiki wanashauriwa kununua tiketi mapema ili kuepuka usumbufu siku ya mchezo.

Mchezo huu kati ya Simba SC na Fountain Gate FC unatarajiwa kuwa kivutio kikubwa katika kalenda ya Ligi Kuu ya NBC 2025/26. Viingilio vikiwa nafuu, ni nafasi murua kwa mashabiki kufika uwanjani na kushuhudia burudani ya moja kwa moja.

error: Content is protected !!