NAFASI za Kazi JTI Tanzania September 2025
JTI Tanzania (Japan Tobacco International Tanzania) ni kampuni tanzu ya kimataifa inayojihusisha na uzalishaji na usambazaji wa bidhaa za tumbaku nchini Tanzania. Kampuni hii imewekeza kwa kiasi kikubwa katika miundombinu ya kisasa ya kilimo na usindikaji wa tumbaku, ikiwa ni pamoja na kutoa mbegu bora, pembejeo na mafunzo kwa wakulima ili kuboresha ubora na uzalishaji wa zao hilo. Kupitia ushirikiano wake na maelfu ya wakulima wa tumbaku nchini, JTI Tanzania inachangia pakubwa katika kuinua kipato cha wakulima na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika maeneo ya vijijini.
Mbali na shughuli zake za kibiashara, JTI Tanzania pia inatekeleza programu mbalimbali za kijamii zinazolenga kuboresha maisha ya jamii zinazozunguka maeneo wanayofanyia kazi. Kampuni hii imekuwa mstari wa mbele katika kusaidia sekta za afya, elimu na maji safi kwa kutoa misaada na kushirikiana na mashirika ya kijamii. Mchango huu umesaidia kuboresha hali za maisha ya wananchi na kuimarisha uhusiano mwema kati ya kampuni na jamii zinazozunguka mashamba na viwanda vyake.
BONYEZA HAPA KUTUA MAOMBI
Leave a Reply