Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Ajira»MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE)
    Ajira

    MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE)

    Kisiwa24By Kisiwa24August 30, 2025No Comments2 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Mkuu wa Chuo Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi
    wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 03-09-2025 hadi 04-09-2025 a
    hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye
    usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
    .
    1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo
    usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
    2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
    3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
    4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
    kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
    5. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
    Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
    6. Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
    matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
    HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
    7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
    8. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
    9. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
    Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
    10. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
    vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya
    tangazo husika.
    11. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti
    vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
    12. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba
    ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili

    BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMAJINA Wailioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe (MU) 29-08-2025
    Next Article NAFASI za Kazi LUMAC Tanzania
    Kisiwa24

    Related Posts

    Ajira

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 33 za Kazi Chuo Cha MUST

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 10 za Kazi Halmshauri ya Mji Babati

    January 3, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202572 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202562 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202540 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202572 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202562 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202540 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.