MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA
MATOKEO Simba Vs Tabora United Leo 18 August 2024
Leo tarehe 18/08/2024 ligi kuu ya NBC Tanzania bara ineendelea katika mzunguko wa kwanza huku Klabu ya wekundu wa msimbazi wakiingia dimbani kukipiga dhidi ya Tabora United.
Hivyo nasi habarika24 tunakuletea matokeo ya mchezo huo live katika page hii. Pia kumbuka ukihitaji matokeo ya michezo ya ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu huu wa 2024/2025 utayapata hapa katika blog yetu ya habaeika24.com
MATOKEO Simba Vs Tabora United Leo 18 August 2024