Nafasi Mpya 96 za Kazi Kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA)
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) ilianzishwa mwaka 1999 kwa Sheria ya Bunge. Mamlaka ina jukumu la kutoa huduma za viwanja vya ndege, msaada wa ardhi, miundombinu na ujenzi wa viwanja vya ndege nchini Tanzania. Mamlaka inafanya kazi chini ya Wizara ya Maendeleo ya Miundombinu.
Kazi Kuu za TAA: Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa Serikali kuhusu maendeleo ya viwanja vya ndege. Kuhakikisha kwamba sera za Serikali za viwanja vya ndege, kanuni, taratibu na viwango vya kimataifa vinatekelezwa ipasavyo. Kuishauri Serikali kuhusu masuala ya kitaifa na kimataifa ya usimamizi wa viwanja vya ndege.
Ofisi kuu za TAA ziko Dar es Salaam na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Ili kutuma maombi yako kwenye hizi nafasi tafadhari bonyeza linki hapo chini
Msaidizi wa Ndege Marshaller (Assistant Aircraft Marshaller) – Nafasi 20
Maafisa wa Huduma kwa Wateja ( Customer Service Officers) – Nafasi 20
Maafisa Wasaidizi wa Usalama Uwanja wa Ndege (Assistant Airport Security Officers) – Nafasi 35
Wahudumu wa Uwanja wa Ndege ( Airport Attendants) – Nafasi 10
Natafta kazi namba ya sm 0697697072
Naomba kazi nina degree ya sheria