Ratiba Ya Mechi Za KenGold FC Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025
Ni siku nyingine tena mpenzi mfuatiliaji wa blog yako pendwa sana kwa taarifa za michezo,ajira na makala mbalimbali ya Habarika24. Karibu kati ukrasa huu wa ambao utakupa fursa ya kutazama ratiba kamili ya mechi zote za KenGold katika ligi kuu ya Nbc Premier msimu wa 2024/2025. Kam tunavyo fahamu ligi kuu ya Nbc Premier msimu mpya wa 2024/2025 inatarajiwa kuanza kunako sikub ya tarehe 16/08/2024 huku mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa ligi hiyo ukitarajiwa kuzokutanisha timu mbili za Mpamba jiji na Tanzania Prisons huko mkoani Mwanza mechi itayotimua vumbi katika uwanja wa CCM kirumba kuanzia majira ya saa 16:00 za jioni.
Hivyo basi kwakua Habrika24 kazi uyetu ni kuhakikisha tunakuletea wewe mfuatiliaji wetu kila taarifa iliyo ya muhimu katika kila nyanja na ndio maana tumeamua kukuletea mpenzi wa klabu ya GenGold na wewe mfuatiliaji wa ligi kuu ya Nbc Premier ratiba yote ya mechi zitakazo chezwa na klabu hii ya KenGold Fc kuanzia mzunguko wa kwanza hadi mzunguko wa mwisho wa 30.
Ratiba Ya Mechi Za KenGold FC Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025
KenGold Fc ni moja miongoni mwa klabu zipatazo 16 ambazo zimefuvu kushiriki katika ligi kuu ya ya Nbc Premier kwa msimu mpya wa 2024/2025. Ifahamike kua timu hii imamaskani yake katika mkoa wa Mbeya na inatumia kiwanja cha Sokoine kama uwanja wake wa nyumbani katika michuano hii ya Nbc Premiar msimu huu wa 2024/2025.
Mzunguko Wa 1
Siku: 8/18/2024
Timu: KenGold FC VS Singida BS
Muda: 14:00
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 2
Siku: Wednesday, September 25, 2024
Timu: KenGold FC VS Young Africans
Muda: 16:15
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya0
Mzunguko Wa 3
Siku: Wednesday, September 11, 2024
Timu: Fountain Gate VS KenGold FC
Muda: 16:15
Uwanja: Tanzanite Kwaraa Manyara
Mzunguko Wa 4
Siku: Monday, September 16, 2024
Timu: KMC FC VS KenGold FC
Muda: 16:00
Uwanja: KMC Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 5
Siku: Friday, September 20, 2024
Timu: Kagera Sugar VS KenGold FC
Muda: 19:00
Uwanja: Kaitaba Stadium Kagera
Mzunguko Wa 6
Siku: Saturday, September 28, 2024
Timu: KenGold FC VS Tabora United
Muda: 14:00
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 7
Siku: Friday, October 4, 2024
Timu: KenGold FC VS JKT Tanzania
Muda: 14:00
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 8
Siku: Saturday, October 26, 2024
Timu: Mashujaa FC VS KenGold FC
Muda: 16:00
Uwanja: Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 9
Siku: TBA
Timu: Azam FC VS KenGold FC
Muda: TBA
Uwanja: Azam Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 10
Siku: Saturday, November 2, 2024
Timu: KenGold FC VS Dodoma Jiji
Muda: 16:15
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 11
Siku: Friday, November 8, 2024
Timu;Tanzania Prisons VS KenGold FC
Muda: 16:00
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 12
Siku; Saturday, November 23, 2024
Timu: KenGold FC VS Coastal Union
Muda; 14:00
Uwanja; Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 13
Siku: Sunday, December 1, 2024
Timu: Pamba Jiji VS KenGold FC
Muda; 16:15
Uwanja: CCM Kirumba Mwanza
Mzunguko Wa 14
Siku: TBA
Timu: Simba SC VS KenGold FC
Muda; TBA
Uwanja; KMC Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 15
Siku: Monday, December 16, 2024
Timu: KenGold FC VS Namungo FC
Muda: 14:00
Uwanja; Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 16
Siku: Friday, December 20, 2024
Timu: Singida BS VS KenGold FC
Muda: 16:15
Uwanja: CCM Liti Singida
Mzunguko Wa 17
Siku: Sunday, December 29, 2024
Timu: Young Africans VS KenGold FC
Muda: 19:00
Uwanja: Azam Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 18
Siku: Monday, January 20, 2025
Timu: KenGold FC VS Fountain Gate
Muda: 14:00
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 19
Siku: Friday, January 24, 2025
Timu: Tabora United VS KenGold FC
Muda: 16:15
Uwanja: Ali Hassan Mwinyi Tabora
Mzunguko Wa 20
Siku: Saturday, February 1, 2025
Timu; KenGold FC VS Kagera Sugar
Muda: 16:15
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 21
Siku: Sunday, February 16, 2025
Timu: KenGold FC VS KMC FC
Muda: 14:00
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 22
Siku: Sunday, February 23, 2025
Timu: JKT Tanzania VS KenGold FC
Muda: 16:00
Uwanja: Mej. Jen. Isamuhyo Dar es Salaam
Mzunguko Wa 23
Siku: Friday, February 28, 2025
Timu: KenGold FC VS Mashujaa FC
Muda: 16:15
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 24
Siku: Saturday, March 8, 2025
Timu: KenGold FC VS Azam FC
Muda: 16:15
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 25
Siku: Saturday, March 29, 2025
Tiumu: Dodoma Jiji VS KenGold FC
Muda: 19:00
Uwanja: Jamhuri Stadium Dodoma
Mzunguko Wa 26
Siku: Friday, April 11, 2025
Timu: KenGold FC VS Tanzania Prisons
Muda: 14:00
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 27
Siku: TBA
Timu: Coastal Union VS KenGold FC
Muda: 21:00
Uwanja: Mkwakwani Tanga
Mzunguko Wa 28
Siku: Saturday, May 3, 2025
Timu: KenGold FC VS Pamba Jiji
Muda: 16:00
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 29
Siku: Saturday, May 17, 2025
Timu: KenGold FC VS Simba SC
Muda: 16:00
Uwanja; TBA
Mzunguko Wa 30
Siku: Saturday, May 24, 2025
Timu: Namungo FC VS KenGold FC
Muda: 16:00
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Msimamo wa ligi kuu ya NBC Bonyeza HAPA