Ratiba Ya Mechi Za Namungo Ligi Kuu Ya NBC Premier Msimu Wa 2024/2025
Habari ya wakati huu mpenzi mfuatiliaji wa blog yako pendwa ya Habarika24, leo katika ukrasa huu utaenda kutazama/kusoma ratiba kamili/yote ya mechi za timu ya Namungo katika ligi kuu ya Nbc Premier msimu wa 2024/2025. Kama tunavyojua ligi kuu ya Nbc Premier msimu mpya wa 2024/2025 unaenda kuanza kutimua vumbi kunako 16/08/2024 kwa mchezo wa ufunguzi utakao cheza mkoani mwanza kati ya timu iliyopanda daraja ya mkoa huo Pamba Fc dhidi ya Tanzania Prosons katika uwanja wa CCM kirumba.
Hivyo kuelekea kufunguliwa kwa ligi kuu ya Nbc premier tumeona nivyema tukakusogezea wewe mpnzi wetu na mpenzi wa mpila wa miguu latiba kamili ya michuona hii ya ligi kuu ya Nbc msimu huu wa 2024/2025 kwa washiriki Namungo Fc.
Ratiba Ya Mechi Za Namungo Ligi Kuu Ya NBC Premier Msimu Wa 2024/2025
Namungo Fc ni moja miongoni mwa vilabu 16 vinavyoshirki katika ligi kuu ya Nbc Premier msimu huu mpya wa 2024/2025, ikiwa na maskani yake katika mmkoa wa Lindi na inatumia uwanja wa Majaliwa Satadium kama uwanja wake wa nyumbani katika michuano hii ya ligi kuu ya Nbc premier msimu wa 2024/2025.
Hapa chini tunakuletea ratiba kamili ya michezo yote ya klabu ya Namungo Fc kuanzia mzunguko wa kwanza hadi mzunguko wa mwisho wa 30 ( Round 1 hadi Round 30)
Mzunguko Wa 1
Siku: 8/17/2024
Timu: Namungo FC VS Fountain Gate
Muda: 19:00
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Mzunguko Wa 2
Siku: August 25, 2024
Timu: Namungo FC VS Tabora United
Muda: 19:00
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Mzunguko Wa 3
Siku: September 12, 2024
Timu: Dodoma Jiji VS Namungo FC
Muda: 19:00
Uwanja: Jamhuri Stadium Dodoma
Mzunguko Wa 4
Siku: TBA – Siku ya kuchezwa mechi hii bado haijatangazwa
Timu: Coastal Union VS Namungo FC
Muda: TBA – Muda sahihi wa kuanza mchezo huu bado haujatangazwa
Uwanja: KMC Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 5
Siku: TBA – Siku ya kuchezwa mechi hii bado haijatangazwa
Timu: Simba SC VS Namungo FC
Muda: TBA – Muda sahihi wa kuanza mchezo huu bado haujatangazwa
Uwanja: KMC Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 6
Siku: September 28, 2024
Timu: Namungo FC VS Tanzania Prisons
Muda: 19:00
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Mzunguko Wa 7
Siku: October 3, 2024
Timu: Namungo FC VS Azam FC
Muda: 21:00
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Mzunguko Wa 8
Siku: October 20, 2024
Timu: Singida BS VS Namungo FC
Muda: 16:00
Uwanja: CCM Liti Singida
Mzunguko Wa 9
Siku: October 25, 2024
Timu: Namungo FC VS Pamba Jiji
Muda: 19:00
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Mzunguko Wa 10
Siku: November 1, 2024
Timu: KMC FC VS Namungo FC
Muda: 16:00
Uwanja: KMC Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 11
Siku: November 8, 2024
Timu; Namungo FC VS JKT Tanzania
Muda: 19:00
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Mzunguko Wa 12
Siku; November 23, 2024
Timu: Mashujaa FC VS Namungo FC
Muda; 16:15
Uwanja; Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 13
Siku: December 1, 2024
Timu: Namungo FC VS Young Africans
Muda; 19:00
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Mzunguko Wa 14
Siku: December 11, 2024
Timu: Kagera Sugar VS Namungo FC
Muda; 19:00
Uwanja; Kaitaba Stadium Kagera
Mzunguko Wa 15
Siku: December 16, 2024
Timu: KenGold FC VS Namungo FC
Muda: 14:00
Uwanja; Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 16
Siku: December 21, 2024
Timu: Fountain Gate VS Namungo FC
Muda: 16:00
Uwanja: Tanzanite Kwaraa Manyara
Mzunguko Wa 17
Siku: December 28, 2024
Timu: Tabora United VS Namungo FC
Muda: 14:00
Uwanja: Ali Hassan Mwinyi Tabora
Mzunguko Wa 18
Siku: January 21, 2025
Timu: Namungo FC VS Dodoma Jiji
Muda: 19:00
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Mzunguko Wa 19
Siku: January 26, 2025
Timu: Tanzania Prisons VS Namungo FC
Muda: 14:00
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 20
Siku: February 2, 2025
Timu; Namungo FC VS Simba SC
Muda: 18:30
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Mzunguko Wa 21
Siku: February 16, 2025
Timu: Namungo FC VS Coastal Union
Muda: 19:00
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Mzunguko Wa 22
Siku: February 22, 2025
Timu: Azam FC VS Namungo FC
Muda: 19:00
Uwanja: Azam Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 23
Siku: February 28, 2025
Timu: Namungo FC VS Singida BS
Muda: 19:00
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Mzunguko Wa 24
Siku: March 9, 2025
Timu: Pamba Jiji VS Namungo FC
Muda: 14:00
Uwanja: CCM Kirumba Mwanza
Mzunguko Wa 25
Siku: March 28, 2025
Tiumu: Namungo FC VS KMC FC
Muda: 19:00
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Mzunguko Wa 26
Siku: April 11, 2025
Timu: JKT Tanzania VS Namungo FC
Muda: 16:15
Uwanja: Mej. Jen. Isamuhyo Dar es Salaam
Mzunguko Wa 27
Siku: April 19, 2025
Timu: Namungo FC VS Mashujaa FC
Muda: 19:00
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Mzunguko Wa 28
Siku: May 4, 2025
Timu: Young Africans VS Namungo FC
Muda: 19:00
Uwanja: Azam Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 29
Siku: May 17, 2025
Timu: Namungo FC VS Kagera Sugar
Muda: 16:00
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Mzunguko Wa 30
Siku: May 24, 2025
Timu: Namungo FC VS KenGold FC
Muda:16:00
Uwnaj: Majaliwa Stadium Lindi
NB; Ikumbukwe kua ligi kuu ya Nbc Premier musimu wa 2024/2025 itaanza kutimua vumbi mnamo 16/08/2024 wakati ikijumuisha jumala ya mizunguko 30 na kila mzunguko utakua na michezo 8 itakayo zikutanisha timu 16 kutoka mikoa mbali mbali ya Tanzania bara. Huku mashabiki wa vilabu hivyo wakisubili kwa hamu kuona mechi zaidi ya 240. Ligi kuu ya Nbc Premier msimu wa 2024/2025 inatazamiwa kutamatika mnamo mwezi May 24, 2025 ikizikutanaisha timu zote 16 kwa michezo 8 katika viwanja tofauti tofauti siku ya jumapili majira ya 16:00 za jioni.
CRDB FEDERATION CUP FINAL (MAY 31, 2025) | ||||||||
FIFA INTERNATIONAL WINDOW (2 – 10 JUNE 2025) | ||||||||
PLAYOFF 2024/25 (PL vs PL) – LEG 1 & 2 (MAY 28 & JUNE 1, 2025) | ||||||||
PLAYOFF 2024/25 (PL vs CL) – LEG 1 & 2 (7 – 11 JUNE, 2025) | ||||||||
TFF AWARDS 2025 |
Mapendekezo ya Mhariri
1. Ratiba Ya Mechi Za Namungo Ligi Kuu Ya NBC Premier Msimu Wa 2024/2025
2. Ratiba Ya Mechi Za Mashujaa FC Ligi Kuu Ya NBC Premier Msimu Wa 2024/2025
3. Ratiba Ya Mechi Za Pamba Jiji Ligi Kuu Ya NBC Premier Msimu Wa 2024/2025
4. Ratiba Ya Mechi Zote Za Yanga Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025