Ratiba Ya Mechi Za Mashujaa FC Ligi Kuu Ya NBC Premier Msimu Wa 2024/2025
Niwakati mwingine tena mpenzi mfuatiliaji wa blog yako pendwa ya habarika24, Katika ukrasa huu tunaenda kukuletea ratiba ya michezo yote itakayochezwa na timu ya Mashujaa katika ligi kuu ya Nbc premier msimu huu wa 2024/2025. Kama tnavyojua mnamo tarahe 16/08 /2024 ligi pendwa mchini Tanzania ya Nbc itaenda kuanza kutimua vumbi kwa mchezo mmoja wa ufunguzi wa ligi hiyo. Hivyo tumeona sio vibaya tukakuletea listi ya mechi zote zitakazochezwa na timu ya Mashujaa Fc.
Ratiba Ya Mechi Za Mashujaa FC Ligi Kuu Ya NBC Premier Msimu Wa 2024/2025
Mashujaa ni moja miongoni mwa timu 16 zinazoshiriki katika ligi kuu ya Nbc premier msimu huu mpya wa 2024/2025. Timu hii inamaskani yake katika mkoa wa Kigoma na hutumia uwanja wa Lake Tanganyika kama uwanja wake wa nyumbani
Hap chini tumekuletea ratiba kamili ya mechi zote ambazo timu ya Mashujaa Fc itazicheza katika ligi kuu ya Nbc Premier msimu wa 2024/2025 kuanzai mzunguko wa 1 (Round 1) hadi mzunguko wa mwisho wa 30 (Round 30)
Mzunguko Wa 1
Siku: 8/17/2024
Timu: Mashujaa FC VS Dodoma Jiji
Muda: 16:00
Uwanja: Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 2
Siku: August 23, 2024
Timu: Mashujaa FC VS Tanzania Prisons
Muda: 16:00
Uwanja: Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 3
Siku: October 21, 2024
Timu: Coastal Union VS Mashujaa FC
Muda: 16:00
Uwanja: KMC Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 4
Siku: TBA – Siku rasmi ya kuchezwa kwa mchezo huu bado haujatangazwa
Timu: Young Africans VS Mashujaa FC
Muda: TBA – Muda wa kucheza mchezo huu bado haujatangazwa
Uwanja: Azam Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 5
Siku: September 21, 2024
Timu: Pamba Jiji VS Mashujaa FC
Muda: 16:15
Uwanja: CCM Kirumba Mwanza
Mzunguko Wa 6
Siku: September 29, 2024
Timu: Mashujaa FC VS Azam FC
Muda: 16:00
Uwanja: Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 7
Siku: October 2, 2024
Timu: Mashujaa FC VS Singida BS
Muda: 16:00
Uwanja: Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 8
Siku: October 26, 2024
Timu: Mashujaa FC VS KenGold FC
Muda: 16:00
Uwanja: Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 9
Siku: TBA – Siku ya mchezo huu bado haijatangazwa
Timu: Mashujaa FC VS Simba SC
Muda: TBA-muda wa huu mchezo bado haujatangazwa
Uwanja: Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 10
Siku: November 3, 2024
Timu: Fountain Gate VS Mashujaa FC
Muda: 16:00
Uwanja: Tanzanite Kwaraa Manyara
Mzunguko Wa 11
Siku: November 9, 2024
Timu; Tabora United VS Mashujaa FC
Muda: 16:00
Uwanja: Ali Hassan Mwinyi Tabora
Mzunguko Wa 12
Siku; November 23, 2024
Timu: Mashujaa FC VS Namungo FC
Muda; 16:15
Uwanja; Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 13
Siku: November 30, 2024
Timu: Mashujaa FC VS Kagera Sugar
Muda; 14:00
Uwanja: Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 14
Siku: December 12, 2024
Timu: KMC FC VS Mashujaa FC
Muda; 16:15
Uwanja; KMC Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 15
Siku: December 15, 2024
Timu:JKT Tanzania VS Mashujaa FC
Muda: 16:15
Uwanja; Mej. Jen. Isamuhyo Dar es Salaam
Mzunguko Wa 16
Siku: December 23, 2024
Timu: Dodoma Jiji VS Mashujaa FC
Muda: 19:00
Uwanja: Jamhuri Stadium Dodoma
Mzunguko Wa 17
Siku: December 27, 2024
Timu: Tanzania Prisons VS Mashujaa FC
Muda: 16:00
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 18
Siku: January 19, 2025
Timu: Mashujaa FC VS Coastal Union
Muda: 14:00
Uwanja: Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 19
Siku: January 26, 2025
Timu: Azam FC VS Mashujaa FC
Muda: 19:00
Uwanja: Azam Complex Dar es Salaam
Mzunguko Wa 20
Siku: January 31, 2025
Timu; Mashujaa FC VS Pamba Jiji
Muda: 16:00
Uwanja: Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 21
Siku: February 16, 2025
Timu: Mashujaa FC VS Young Africans
Muda: 16:15
Uwanja: Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 22
Siku: February 21, 2025
Timu: Singida BS VS Mashujaa FC
Muda: 16:15
Uwanja: CCM Liti Singida
Mzunguko Wa 23
Siku: February 28, 2025
Timu: KenGold FC VS Mashujaa FC
Muda: 16:15
Uwanja: Sokoine Stadium Mbeya
Mzunguko Wa 24
Siku: March 8, 2025
Timu: Simba SC VS Mashujaa FC
Muda: 19:00
Uwanja: Benjamin Mkapa Dar es Salaam
Mzunguko Wa 25
Siku: March 28, 2025
Tiumu: Mashujaa FC VS Fountain Gate
Muda: 16:15
Uwanja: Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 26
Siku: April 13, 2025
Timu: Mashujaa FC VS Tabora United
Muda: 14:00
Uwanja: Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 27
Siku: April 19, 2025
Timu: Namungo FC VS Mashujaa FC
Muda: 19:00
Uwanja: Majaliwa Stadium Lindi
Mzunguko Wa 28
Siku: May 2, 2025
Timu: Kagera Sugar VS Mashujaa FC
Muda: 18:30
Uwanja: Kaitaba Stadium Kagera
Mzunguko Wa 29
Siku: May 17, 2025
Timu: Mashujaa FC VS KMC FC
Muda: 16:00
Uwanja: Lake Tanganyika Kigoma
Mzunguko Wa 30
Siku: May 24, 2025
Timu: Mashujaa FC VS JKT Tanzania
Muda: 16:00
Uwanja: Lake Tanganyika Kigoma
CRDB FEDERATION CUP FINAL (MAY 31, 2025) | ||||||||
FIFA INTERNATIONAL WINDOW (2 – 10 JUNE 2025) | ||||||||
PLAYOFF 2024/25 (PL vs PL) – LEG 1 & 2 (MAY 28 & JUNE 1, 2025) | ||||||||
PLAYOFF 2024/25 (PL vs CL) – LEG 1 & 2 (7 – 11 JUNE, 2025) | ||||||||
TFF AWARDS 2025 |