MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA
Simba Sc Kumtena Mmoja kati ya Hawa 3
Simba SC imeweka majina matatu mezani ambapo mmoja kati ya hayo atapisha usajili mpya ambao wanapambana kukamilisha dili hilo kwa wakati
Freddy Michael 🇨🇮
Ayoub Lakred 🇲🇦
Fabrice Ngoma 🇨🇩
Simba SC ,wapo sokoni kusaka mchezaji ambaye anahudumu katika nafasi ya ushambuliaji ili kuboresha eneo hilo kwa mujibu wa mapendekezo ya Fadlu Davids.
MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA