Ratiba Ya Mechi Zote Za Yanga Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025,Mrchi za Yanga, Mechi zote za Yanga NBC Tanzania 2024
Habari mwanamichezo wa Habarika24, karibu katika ukrasa huu utakao kujuza ratiba kamili ya mechi zote za yanga sc katika ligi kuu ya Nbc msimu huu wa 2024/2025. Ikiwa zimebaki siku chache ili kuanza kwa ligi kuu ya Nbc kwa msimu wa 2024 basi sisi tumeamua kukuletea ratiba yote ya michezo ya klabu ya Yanga.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Ikumbukwe kua ligi kuu ya Nbc itaanza mnamo 16/08/2024 kwa michezo miwili kutazama latiba ya ligi kuu ya Nbc msimu wa 2024 bonyeza HAPA.
Ratiba Ya Mechi Za Yanga Ligi Kuu Ya NBC Msimu Wa 2024/2025
Hapa chini ni ratiba kamili ya mechi za klabu ya Yanga katika ligi kuu ya NBC Tanzania bara kuanzia mzunguko wa kwanza hadi mzunguko wa 30
ROUNDI YA 1
8/29/2024
Kagera Sugar VS Young Africans
19:00
Kaitaba Stadium Kagera
ROUNDI YA 2
September 25, 2024
KenGold FC VS Young Africans
16:15
Sokoine Stadium Mbeya
ROUNDI YA 3
October 22, 2024
Young Africans VS JKT Tanzania
19:00
Azam Complex Dar es Salaam
ROUNDI YA 4
TBA
Young Africans VS Mashujaa FC
TBA
Azam Complex Dar es Salaam
ROUNDI YA 5
TBA
Singida BS VS Young Africans
TBA
CCM Liti Singida
ROUNDI YA 6
September 29, 2024
Young Africans VS KMC FC
21:00
Azam Complex Dar es Salaam
ROUNDI YA 7
October 3, 2024
Young Africans VS Pamba Jiji
18:30
Azam Complex Dar es Salaam
ROUNDI YA 8
October 19, 2024
Simba SC VS Young Africans
17:00
KMC Complex Dar es Salaam
ROUNDI YA 9
TBA
Young Africans VS Tabora United
TBA
Azam Complex Dar es Salaam
ROUNDI YA 10
TBA
Coastal Union VS Young Africans
TBA
KMC Complex Dar es Salaam
ROUNDI YA 11
TBA
Young Africans VS Azam FC
TBA
TBA Dar es Salaam
ROUNDI YA 12
November 21, 2024
Young Africans VS Fountain Gate
19:00
Azam Complex Dar es Salaam
ROUNDI YA 13
December 1, 2024
Namungo FC VS Young Africans
19:00
Majaliwa Stadium Lindi
ROUNDI YA 14
TBA
Young Africans VS Tanzania Prisons
TBA
Azam Complex Dar es Salaam
ROUNDI YA 15
TBA
Dodoma Jiji VS Young Africans
TBA
Jamhuri Stadium Dodoma
ROUNDI YA 16
December 22, 2024
Young Africans VS Kagera Sugar
18:30
Azam Complex Dar es Salaam
ROUNDI YA 17
December 29, 2024
Young Africans VS KenGold FC
19:00
Azam Complex Dar es Salaam
ROUNDI YA 18
January 20, 2025
JKT Tanzania VS Young Africans
16:15
Mej. Jen. Isamuhyo Dar es Salaam
ROUNDI YA 19
January 26, 2025
KMC FC VS Young Africans
16:15
KMC Complex Dar es Salaam
ROUNDI YA 20
February 1, 2025
Young Africans VS Singida BS
19:00
Azam Complex Dar es Salaam
ROUNDI YA 21
February 16, 2025
Mashujaa FC VS Young Africans
16:15
Lake Tanganyika Kigoma
ROUNDI YA 22
February 22, 2025
Pamba Jiji VS Young Africans
16:15
CCM Kirumba Mwanza
ROUNDI YA 23
March 1, 2025
Young Africans VS Simba SC
17:00
Benjamin Mkapa Dar es Salaam
ROUNDI YA 24
March 9, 2025
Tabora United VS Young Africans
16:15
Ali Hassan Mwinyi Tabora
ROUNDI YA 25
March 30, 2025
Young Africans VS Coastal Union
19:00
Azam Complex Dar es Salaam
ROUNDI YA 26
April 12, 2025
Azam FC VS Young Africans
18:30
Benjamin Mkapa Dar es Salaam
ROUNDI YA 27
TBA
Fountain Gate VS Young Africans
16:00
Tanzanite Kwaraa Manyara
ROUNDI YA 28
May 4, 2025
Young Africans VS Namungo FC
19:00
Azam Complex Dar es Salaam
ROUNDI YA 29
May 17, 2025
Tanzania Prisons VS Young Africans
16:00
Sokoine Stadium Mbeya
ROUNDI YA 30
May 24, 2025
Young Africans VS Dodoma Jiji
16:00
TBA TBA
Hitimisho
Kalabu ya yanga ndio bingwa mtetezi wa kombe la lingi kuu ya NBC kwani msimu wa 2023/2024 alimaliza katika nafasi ya kwa akiwa na jumla ya pointi 90 huku wakiwaacha nyuma Azam FC katika nafasi ya 2 na Simba SC katika nafasi ya 3 wakiwa na pointi 86. Hivyo katika msimu huu mp[ya Yanga imejipanga kutetea ubigwa wake kwa kuhakikisha wamefanya usajili wa wachezaji wenye uzoefu wa kutosha katika michuano mbali mbali.
Mapendekezo Ya Mhariri;
1. Kikosi Cha Yanga Msimu Wa 2024-2025
2. Wachezaji wanaolipwa pesa nyingi Tanzania 2024
3. Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025