Kikosi cha Pamba Jiji dhidi ya Tanzania Prisons Ligi Kuu Ya Nbc Tanzania 16/08/2024
Habari karibu katika makala yetu hii ambayo tutakwenda kukuonyesha majina ya wachezaji ambao wanatarajiwa kucheza katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc dhidi ya Tanzania Prisons 16/08/2024 msimu huu wa 2024.
Pamba inakutana na Tanzania Prisons kunako mchezo wa kwanzana kabisa katika ligi kuu ya NBC msimu wa 2024. Mchezo huu unapigwa katika uwanja wa CCM Kirumba ulioko mkoani Mwanza na Pamba ndio wenyeji wa mchezo huo.
Kikosi cha Pamba Jiji kinachotarajiwa Kucheza dhidi ya Tanzania Prisons Ligi Kuu Ya Nbc Tanzania
☑️Matokeo ya Pamba Jiji VS Tanzania Prisons Ligi Kuu Ya Nbc Tanzania 16/08/2024
Hiki hapa ndio kikosi kimpya cha Pamba Jiji kitakahoshiriki michuano ya Ligi kuu ya Nbc msimu wa 2024
☑️Yona Hamosi
☑️Kelvin Nyanguge
☑️Ally Ramadhani
☑️Paulin Kasinda
☑️Paul Kamtewa
☑️Christopher Oruchum
☑️Kenneth Kunambi
☑️Mukeya Alain
☑️Yunus Lema
☑️Costantino Almisu
☑️Salehe Masoud
☑️Eric Okutu
☑️Beny Nakibinde
☑️Ibrahim Abraham
☑️Justine Omary
☑️Frank Ng’ombe
☑️Samson Madeleke
☑️Mashaka
☑️Bastain
☑️Kado
☑️Mtobesya
☑️Samamba
☑️Kipemba
☑️Daniel Jarom
Mchezo huu utaanza majira ya 16:00 kamili za jioni